Ujumbe wangu kwenu

Ujumbe wangu kwenu

mwenye kuelewa na aelewe maneno ya busara umeandika hapa

"jitazame kwa jicho la tatu labda kuna sehemu unakosea na bado hujaijua"

tusiache kumkumbuka Mungu pia..
 
Hizi ni hekima za watu wa ccm na amini wewe ni mmoja wa wanachama waaminifu wa chama chetu hongera sana kwa kujitambua
umeenda nje ya topic ndugu yangu, me sio mpenzi wa hizo siasa na sina chama chochote kile, chama changu ni ugali tu mkuu siasa nakuachia wewe
 
Aseeh itabidi unipatie hiyo dawa...

nataka nianze na bbade.
Nikiangalia nyota ya Daby na bbade zinaendana, upendo wenu utazaliwa pande za ufukwe wa beach siku ya weekend.

Hii dawa itasaidia akupende swagga zako tu na wala sio pesa; hata ukisema umpe pesa utamsikia shem akisema "baby mimi nakupenda wewe na sio pesa zako"nimekufa nimeoza, sina mwengine zaidi yako
 
Ni kutulia na kutafuta hitaji lako pia kumshilikisha mungu naamin utapat hitaji la moyo wako.
 
mwenye kuelewa na aelewe maneno ya busara umeandika hapa

"jitazame kwa jicho la tatu labda kuna sehemu unakosea na bado hujaijua"

tusiache kumkumbuka Mungu pia..
play at your own risk sio?

Mungu kwanza mengine baadae
 
Nikiangalia nyota ya Daby na bbade zinaendana, upendo wenu utazaliwa pande za ufukwe wa beach siku ya weekend.

Hii dawa itasaidia akupende swagga zako tu na wala sio pesa; hata ukisema umpe pesa utamsikia shem akisema "baby mimi nakupenda wewe na sio pesa zako"nimekufa nimeoza, sina mwengine zaidi yako
hahaha...

Basi bwana sasa siufanye biashara mzee hii dawa utapiga pesa vibaya saana...vijana wanapenda makubwa ila hawayapati.

Tangaza biashara uwe babu wa loliondo wa pili.
 
Back
Top Bottom