Ujumbe wangu kwenu

Ujumbe wangu kwenu

usicheke ushaniogopesha, mara najikuta nampenda Daby kwa dawa ulizompa heri nusu shari ntakua namkimbia hata kamba hajaongea au hajasogea karibu
Madam S: Daby mambo

Daby: zzzzzzzzz

Madam S: Daby si nakupa hai

Daby: mwanangu supermarket yule dem amejileta mwenyewe, ile dawa inafanya kazi. Unamkumbuka yule nilimwambia anifanyie connection na mdogo wake

Supermarket: sasa si umsikilize anasemaje

Daby: poa madam s nambie

Madam S: unajua siku zote nilikuwa nakukimbia, kuna kitu nataka nikwambie, yani kila nilivyojaribu kukukimbia roho imenishinda

Daby:[emoji44][emoji44]
Supermarket: [emoji44][emoji44]
 
Naomba nikupe kadi kuna sherehe huku kwa majaliwa, uwepo wako ndio utafanikisha shughuli nzima ya sherehe.
Karibu sana
ndio wapi tena??? Iyo kadi nataka nije na ubavu wangu vipi inaruhusiwa??
 
Mapenzi ni kitu cha hovyo saana, Maumivu ya mapenzi hayafanani na chochote.. Pia hayazoeleki.. Inaumiza zaiD demu umedumu naye takribani miaka mitatu, umepita naye ktk shida na Raha halafu anakuja mpumbavu mmoja anambeba kirahisi saana.. Tena anakuambia muachane Kwa lazima akiwa hana sababu ya msingi ya kufanya hivo
 
Hahahahahahahahahhahaa mimi huyu na aibu nilizokua nazo hahahhahahaa hapana
Madam S: Daby mambo

Daby: zzzzzzzzz

Madam S: Daby si nakupa hai

Daby: mwanangu supermarket yule dem amejileta mwenyewe, ile dawa inafanya kazi. Unamkumbuka yule nilimwambia anifanyie connection na mdogo wake

Supermarket: sasa si umsikilize anasemaje

Daby: poa madam s nambie

Madam S: unajua siku zote nilikuwa nakukimbia, kuna kitu nataka nikwambie, yani kila nilivyojaribu kukukimbia roho imenishinda

Daby:[emoji44][emoji44]
Supermarket: [emoji44][emoji44]
 
Kuna wakati binaadamu unaweza kujikuta ukitamani kupenda lakini kuna wakati unaweza kujuta kwanini ulipenda.

Hakuna aneichukia furaha pindi inapomuangukia katika himaya yake, lakini je kila aitakaye furaha huipata wakati sahihi?

Wakati mwengine binaadam tunahitaji kupata faraja.

Hakuna kitu kizuri kama unapogundua umpendae, familia marafiki woote wapo nyuma yako kukupongeza ama kukusapoti kwa kile ufanyacho.

Sikatai katika Mapenzi kuna wasaliti, wezi, waongo na wengine woote wenye kusababisha maumivu.

Ila tambua kati ya Makundi mawili kati ya Wanaume na Wanawake amini kuwa wapo wenye Mapenzi ya kweli.

Japo kumpata mwenye Mapenzi ya dhati ni ngumu ila tafuta unachokiamini na Mungu atakupa kwa Imani yako.

Ni vibaya sana kuwahukumu Kundi fulani kwa kosa la Mtu Mmoja, achana na ule Msemo usemao samaki Mmoja akioza na Wengine wameoza.

Kila siku unaanzisha Mahusiano mapya ukiulizwa kwanini Mmeachana lawama zoote kwa waliokuacha kuwa wana tabia mbaya na unakiri ulikosea kuwa nao.

Jitazame kwa jicho la Tatu labda kuna sehemu unakosea na bado ujajua.

Japo alikuacha au ulimuacha kwa makosa yake ila na Wewe jitathimini amini kuwa ujakamilika.

Tumia angalau dakika tano kwa kila siku kujitathimi ni wapi ulipokosea kabla hujanyoosha kidole kwa mwenzako, inawezekana wewe ukawa chanzo cha yeye kubadilika.

Hakuna alieweza kuisimamia vyema misingi imara na kanuni za kimahusiano, kwa hiyo hata wewe unaweza kuwa sababu ya mabadiliko hayo bila kujijua.

Kabla ya kulalamika kwa watu ni afadhali ujitathimi, kisha utafute namna ya kujadiliana na mwenza wako, ili upate taswira ya muelekeo wako.

Alamsiq.
Good
 
Umeongea jambo zito kidogo.
Changamoto zipo, maumivu yapo lkn inabidi usichoke kulipigania pendo lako. Unayoyakimbia sehemu moja unaweza kuyakuta makubwa zaidi ya yale uliyoyaacha mwanzo.

Neno "asante" na "samahani" liwe karibu na ulimi wako kwa afya ya penzi lenu
 
Mapenzi ni kitu cha hovyo saana, Maumivu ya mapenzi hayafanani na chochote.. Pia hayazoeleki.. Inaumiza zaiD demu umedumu naye takribani miaka mitatu, umepita naye ktk shida na Raha halafu anakuja mpumbavu mmoja anambeba kirahisi saana.. Tena anakuambia muachane Kwa lazima akiwa hana sababu ya msingi ya kufanya hivo
wewe waona hivyo ngoja nikwambia kitu

Ujue we umedumu miaka hiyo umeona mingi kuna watu wana zaidi ya hivo hata hivo ushukuru mtu ameshakwambia muachane what else do u want?? Amekua muwazi shida ni ile unataka kitu ambacho kw aupande wa pili hakiwezekani tena unakubali matokeo tu japo utaumia kubali kuumia tena umia haswa usiogope ila kamwe usimuoneshe adui yako madhaifu yako, amesema tuachane fine tuachane, sitisha kila kitu kuhusu yeye japo muda ulioinvest hauwez kurud kamwe, halaf unasahau sio riziki mkuu au hujui kiaicho riziki hakiliki???
 
Back
Top Bottom