Usijiachilie kupata huzuni, Wala usijiumize mwenyewe kwa makusudi. Furaha ya moyo ni uhai wa mtu; furaha ndiyo inayompa maisha marefu, Jifurahishe na kuwa na utulivu wa moyo, weka huzuni mbali nawe.
Maana huzuni imeangamiza wengi, Wala haina faida kwa mtu yeyote. Wivu na hasira ufupisha maisha, mahangaiko hufanya mtu azeeke upesi. Mwenye moyo mkunjufu na mwema, atachukua hadhari juu ya chakula anachokula.
Sira 30:22-25
Hakuna tiba bora kama kulia.. Kulia hutoa uchungu na sumu mbaya ya kudhuru mwiliLakini mkuu , Mimi naipa nafsi yangu kila yaliyo mema ( kutojipa stress kula chakula bora n.k n.k )
But time hii kuna kitendo nimetendwa niliamua kulia kwa saana kwa hasira , kwakulia kwangu nilijiepusha kutofikiria sana juu ya kilichotokea .
Je kulia Kuna madhara au faida?
Mshana Jr
Basi bado nipo sehemu salamaHakuna tiba bora kama kulia.. Kulia hutoa uchungu na sumu mbaya ya kudhuru mwili