Ujumbe wangu kwako Jumapili hii...

Ujumbe wangu kwako Jumapili hii...

Imeandikwa, ZAB. 127:2 SUV
Kazi yenu ni bure, mnaoamka mapema, Na kukawia kwenda kulala, Na kula chakula cha taabu; Yeye humpa mpenzi wake usingizi.
Kuna time nataman saana kuyaona haya halis kwenye maisha lakin wap!!! Acha niendelee kuyasoma tuu.
 
MIT. 20:13 SUV
Usipende usingizi usije ukawa maskini; Fumbua macho yako nawe utashiba chakula.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom