Ujumbe wangu kwa Watanzania.

Ujumbe wangu kwa Watanzania.

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
546
Reaction score
1,114
Ndugu zangu Watanzania, siyo kwamba Tundu Lissu, John Heche, John Mnyika, TEC, Sheikh Ponda, Ask. Mwamakula, Ask. Mwanamapinduzi, Ask. Mwamalanga, Ask. Bagonza, Ask. Shoo na wengineo wengi walio mstari wa mbele katika mapambano ya kupigania HAKI wana dhiki sana, hapana. Wangeweza kubaki na familia zao na kuendelea na shughuli zao na wasipungukiwe na chochote kile. Lakini kama wangetaka maslahi wangeungana na watawala. Wanafanya haya yote kwa ajili ya kuitengeneza Tanzania iliyo bora zaidi kwa vizazi vilivyopo na vijavyo.
Nawaomba sana Watanzania wenzangu, tuwaunge mkono kwa kutoa michango yetu ya hali na mali ili kazi hii iendelee.
Mungu awabariki sana.
 
Gentleman,
nadhani ni muhimu zaidi kuwapuuza waropokaji hao wachache ambao ni wabinafsi sana na kuwaunga mkono waTanzania kwa mamilioni yao ambao wako hatua za mwisho kabisaa za maandalizi ya kushiriki uchaguzi mkuu wa kihistoria kikatiba Tanzania, mapema October mwaka huu 2025🐒
 
Kwamba Lisu akienda Ikulu atafanya kazi bila kulipwa chochote? Anapigania ajira ya uraisi kwa njia ya hadaa kuwa anawapigania wanyon ge ~ siasa ni ajira yenye maslahi makubwa.
 
Ndugu zangu Watanzania, siyo kwamba Tundu Lissu, John Heche, John Mnyika, TEC, Sheikh Ponda, Ask. Mwamakula, Ask. Mwanamapinduzi, Ask. Mwamalanga, Ask. Bagonza, Ask. Shoo na wengineo wengi walio mstari wa mbele katika mapambano ya kupigania HAKI wana dhiki sana, hapana. Wangeweza kubaki na familia zao na kuendelea na shughuli zao na wasipungukiwe na chochote kile. Lakini kama wangetaka maslahi wangeungana na watawala. Wanafanya haya yote kwa ajili ya kuitengeneza Tanzania iliyo bora zaidi kwa vizazi vilivyopo na vijavyo.
Nawaomba sana Watanzania wenzangu, tuwaunge mkono kwa kutoa michango yetu ya hali na mali ili kazi hii iendelee.
Mungu awabariki sana.
Mtoe Askofu Shoo kwenye hii list..
 
Sioni namna yoyote ya kuzuia vuguvugu la madai sheria bora za uchaguzi kwa muda mfupi ambao chadema wamefanya operation yao ya madai ya sheria zisizopendelea chama kimojawapo watu wengi wameanza kuelewa na kuushangaa uhuni wa kuteua wasimamizi unaofanywa na mshindani mmojawapo ambao umefanyika kwa miaka mingi.Ni mambo ya ajabu
 
Ndugu zangu Watanzania, siyo kwamba Tundu Lissu, John Heche, John Mnyika, TEC, Sheikh Ponda, Ask. Mwamakula, Ask. Mwanamapinduzi, Ask. Mwamalanga, Ask. Bagonza, Ask. Shoo na wengineo wengi walio mstari wa mbele katika mapambano ya kupigania HAKI wana dhiki sana, hapana. Wangeweza kubaki na familia zao na kuendelea na shughuli zao na wasipungukiwe na chochote kile. Lakini kama wangetaka maslahi wangeungana na watawala. Wanafanya haya yote kwa ajili ya kuitengeneza Tanzania iliyo bora zaidi kwa vizazi vilivyopo na vijavyo.
Nawaomba sana Watanzania wenzangu, tuwaunge mkono kwa kutoa michango yetu ya hali na mali ili kazi hii iendelee.
Mungu awabariki sana.
Amen, asante, ubarikiwe!.
P
 
Naunga mkono !!!!!!!!!
 
Ni vyema umeorodhesha wapenda HAKI wa upande huo; ingawa orodha ni ndefu zaidi ya hao.
Hawa ni viongozi tu wanaojitoa mbele kwa niaba ya waTanzania wote wapenda HAKI. Kazi yao ni kuelimisha tu hata hao wengine wasiojuwa maana ya HAKI yao inayo porwa na hilo kundi jingine la kutotaka wananchi wetu wasiwe na UHURU na HAKI ya kuwachagua viongozi wanaowataka wao wenyewe, bila ya kushurutishwa na yeyote.

Pamoja na kufanya kazi hiyo nzuri ya kuwaorodhesha hawa wanaopigania HAKI, nikusihi sana sasa geuka na kutuwekea orodha kamili ya hilo kundi pinzani lisilotaka HAKI.
Kwa haraka haraka ngoja nikusaidie kwa hawa wachache: Samia Suluhu Hassan; Mchengerwa; Wasira; Awadh (polis mteka watu); Hamza Johari; Kikwete; Nchimbi; Chief Justice; akina Adam Kimbisa; akina Kabuti Mlamaganda; na wengi wengine walioko CCM wakipigania maslahi ya matumbo yao na kusahau haki za wengine.

Ni muhimu kuwaweka hawa wajulikane bayana katika mapambano haya watu wajue ni akina nani hasa wanaozuia HAKI isitendeke ndani ya nchi hii.
 
Ndugu zangu Watanzania, siyo kwamba Tundu Lissu, John Heche, John Mnyika, TEC, Sheikh Ponda, Ask. Mwamakula, Ask. Mwanamapinduzi, Ask. Mwamalanga, Ask. Bagonza, Ask. Shoo na wengineo wengi walio mstari wa mbele katika mapambano ya kupigania HAKI wana dhiki sana, hapana. Wangeweza kubaki na familia zao na kuendelea na shughuli zao na wasipungukiwe na chochote kile. Lakini kama wangetaka maslahi wangeungana na watawala. Wanafanya haya yote kwa ajili ya kuitengeneza Tanzania iliyo bora zaidi kwa vizazi vilivyopo na vijavyo.
Nawaomba sana Watanzania wenzangu, tuwaunge mkono kwa kutoa michango yetu ya hali na mali ili kazi hii iendelee.
Mungu awabariki sana.
Matapeli tu hayo
 
Kwamba Lisu akienda Ikulu atafanya kazi bila kulipwa chochote? Anapigania ajira ya uraisi kwa njia ya hadaa kuwa anawapigania wanyon ge ~ siasa ni ajira yenye maslahi makubwa.
Wewe unachojuwa ni hizo ajira na kulipwa tu basi?
Kama atapata ajira na kulipwa, halafu kukawepo HAKI tatizo kwako ni nini?

Kwa nini Samia asikubali HAKI itendeke, na aendelee kuwa na ajira na kulipwa?
 
Haki ni nadharia inayohubiriwa lakini haijawahi na haitowahi kutekelezeka, sio Duniani tu ,hadi Mbinguni.

Tafakari.
 
Huna lolote la kunifanya "nitafakari." Unataka nitafakari upuuzi, maneno ya kukariri bila ya kuelewa maana yake, ndiyo niyatafakari?

Hiyo uliyoweka hapo ni mipasho, ambayo haina tofauti na mipasho mingi tunayoisikia toka kwa Samia toka ashike madaraka.
 
Back
Top Bottom