Bulk SMS kwa Sekta ya elimu na Sekta nyingine

Bulk SMS kwa Sekta ya elimu na Sekta nyingine

Joined
Jul 24, 2017
Posts
31
Reaction score
17
Maana ya BULK SMS:
Tunapo zungumzia Bulk Sms tunamaanisha huduma ya kutuma ujumbe mmoja wa maandishi kwa watu wengi. Mfano kutuma sms moja kwa watu zaidi ya 10000 kwa wakati mmoja.

Bulk sms hutumwa kwa kutumia mfumo maalumu ( kwa njia ya website) tofauti na mfumo tunao tumia kutuma sms za kawaida.
Sms hizi humfikia mteja au mlengwa zikiwa na Sender name yaani jina la mtumaji badala ya namba ya simu ya kawaida au jina la mtu aliyehifadhiwa kwenye phone book.

Sender name inaweza kuwa jina la taasisi, jina la kampuni, jina la biashara n.k
Mfano wa sender name ni kama vile
TigoPesa, Mpesa, NMB, CRDB, TATUMZUKA, SPORTPESA N.K

UZURI WA BULK SMS
BULK SMS hazina expire date kama zilivyo sms za kawaida ambazo ikifika muda hazijaisha basi hurudi kwa provider. Hii inamaanisha kuwa ukisha zinunua basi utazitumia hadi hapo zitakapo isha zenyewe. BULK SMS hurahisisha mawasiliano baina ya mtoa huduma na mpokea huduma. Na hivyo kujenga ushirikiano baina yao

UMUHIMU WA BULK SMS KWA TAASISI ZA ELIMU
Tumapozungumzia taasisi za elim tunamaanisha taasisi zote zinazo jihusisha na utoaji wa elimu kwa jamii.
Mfano shule zote za msingi na secondary, collages, univerities, vituo vya elimu n.k

Hawa wote na wengine ambao hawajatajwa wanaweza kutumia huduma ya Bulk sms kufanya yafuatayo:
1. Kutoa taafifa ya ukumbusho wa ada.
2. Taarifa ya vikao vya wazazi
3. Taarifa ya vikao vya staff na bodi
4. Kutuma ujumbe wa wito kwa mzazi kufika shule
5. Kutoa taarifa zingine zinazohusiana na maswala ya elimu kama vile tarehe za kufanyika kwa graduation n.k

UMUHIMU KWA SEKTA ZINGINE
MFANO: MASHIRIKA YA UMMA NA BINAFSI, TAASISI ZA KIDINI, MAKAMPUNI, WAJASIRIAMALI N.K wanaweza kutumia BULK SMS kwa lengo la
1. Kutuma ujumbe kwa wafanya kazi kwa lengo la kuwapa taarifa za Vikao, semina, mafunzo n.k
2. Kutuma taarifa kwa wateja juu ya huduma mpya, bidhaa mpya n.k
3. Kutuma ujumbe wa ukumbusho, salamu au pongezi
N.k
BEI ZA SMS NI
Sms 10000 - 25000 ni tsh 22 kwa kila sms
Sms 25001 - 50000 ni tsh 21 kwa kila sms
Sms 50001 na kuendelea ni tsh 20 kwa kila sms.
Sms zote chini ya sms 10000 ni tsh 27 kwa kila sms

Kwa maelezo zaidi na namna ya kupata hii huduma ya Bulk Sms waweza wasiliana nami kwa kumia njia moja wapo kati ya zifuatazo
Call: 0625932259 / 0659505081
SMS : 0625932259 / 0659505081
Whatsapp: 0625932259View attachment 1498236
20200704_144401_0000.jpg
 
"Ile hela tuma kwenye namba hii" , nitumie hii sms kwa watu laki moja. Dili likitiki nitakulipa.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom