Ujumbe wa mwaka mpya: Wadada mnaolea wanaume muache!

Ujumbe wa mwaka mpya: Wadada mnaolea wanaume muache!

Sijawahi kuomba Msaada hapa.ila natumia hili jukwaa kushare what is good and better.i never work nikiamka asubuhi computer na mimi Nina Uza Tv bongo na nina blog nauza vitu so all the time nipo Kwenye comp .my hubby Ana clinic 3 ,we meet at lunch .I have good life I'm blessed.nipo TMZ , kila blog .Kwa if ufupi I have online retails store .I'm here to look for customers too nimepata wa kununua Tv a lot of opportunity here especially business .I study and target customers .Good luck

chezeya ticha natty wewe.....
 
Mtu Ana mimba a nafanya kazi ??? Huyo ni mwanaume wa kuafrika .mjipende bwanaaaa msiwababaikieeee hivyo

waelezeeee waelezeee walaahiiii mbavu sina, ukiwa na mimba ukajilegeza bongo hapa huko leba itakuwaje?
 
Hapa anaongelewa baba mwenye nyumba au wapita njia wa mitaani? Bila jibu hilo ni ngumu kujadili.
ila uzoefu wangu unaonesha kuwa wanawake wengi walio kwenye ndoa na hawajatibuliwa wanatoea pesa kwa waume zao kama vile hamnazo mwa kichwa.

To me that's excellent!
 
we babu weweeeee..... Kumbe unapenda kuzipokea eeeeen

Anyway mwl natty anaongelea wote banaa, maana kuna mume na jimume lo....msinirushie mawe......
 
we babu weweeeee..... Kumbe unapenda kuzipokea eeeeen

Anyway mwl natty anaongelea wote banaa, maana kuna mume na jimume lo....msinirushie mawe......

Siwezi kusema zaidi kwa kuwa naamini kwamba kila mahusiano ni kama sovereign state na kwa hiyo wanaweza kuishi kwa namna yoyote ili mradi wamekubaliana.

Mie na bibi tunapeana sana tena. Kila kitu ni chetu!

kwani pesa ni kitu gani BADILI TABIA, kama mtu anakupa mwili na moyo wake wote uchezee unavyotaka?
 
Last edited by a moderator:
Mwanaume kulelewa ni laana.Mwanaume ni lazima afanye kazi.
"
Kupenda kishi maisha ya kike ni janga kubwa.Ila kwenye thread hii ufafanuzi unahitajika kama alivyoshauri Dark City !
"
"
"Ajifanyiae marafiki wengi anajiangamiza mwenyewe"
 
Last edited by a moderator:
Jamani hao wanawake wa kulea wako wapi?:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:
 
Akhuuu, mie pepa nimefeli. Nahongaaaaaa! My Paw vacation is on me, anakumywa atakacho na nguo mpya nimemnunulia. . Na anaamua yeye twende wapi manake hapa namrudisha home tarehe mbili. Muniwacheeee, ningekuwa na mahela kama ya mrs rutherford mbona ningemnunulia hii sayari iwe yake?
hiko nalo neno.......
Nakuunga kichwa mkono na miguu....

Mambo ya kuhonga na yeye akahonge nani anayataka?????

Mtihani wa leo nimepata mia ya mia, snowhite mwaJ king'asti @fp, hamtaki kukaa na mie kwenye pepa leo mdeseeee?????
 
Last edited by a moderator:
Kwa mara ya kwanza nime unlike like niloitoa! Nilikupa like kabla sijasoma material ya topic hii. Ha ha haaaaaaa, hongera kwa kupata mia kwa mia! Kama grade one vile! Mie nimepata karai "C"! Maana sijakubaliana na teacher Natalia kama kawaida yangu!

What if huyo mwanaume wako ameishiwa au mambo yake hayajakaa sawa? Utamwacha afe njaa? Hutamwekea mafuta ya gari? Kama ni mumeo je? Will you leave him just because kafulia? Na concept ya kusaidiana katika maisha mnaichukuliaje? Binafsi sichukulii hiyo kama ni kuhonga. BADILI TABIA acha tu nipate karai kwa kutokubaliana na teacher! snowhite, gfsonwin, FP na wengine hebu wekeni mawazo yenu hapa labda tutakuwa na the second school of thought kuhusu hili suala.

Mama mdogo hata mie nakubaliana na wewe ngoja tupate wote karai..Kuna mama mmoja namfahamu anamlea mumewe na familia..Hii ni baada ya mumewe kufukuzwa kazi.Kwa mtazamo wa Natalia ilibidi huyu mama akimbie akatafute wenye hela..
 
Last edited by a moderator:
unajua kwa nini nimepata 100% leo?

Asikwambie mtu, hawa wanaume siku hizi wamebadilika..... Kuna yule wa kumsaidia (mfano mume, au mwanaume responsible, anapokwama, hii huwa unambusti pale inapotokea...)

ila siku hizi kuna hawa marioooooooooo walllahi kwanza mwanzoni huwezi kumjua...... Anakuteka kimapenzi then kidogo kidogo bila kutarajia utaanza kulipia vidate hadi boxer anayovaa....

Mwaj hujawahi toka out na mwanaume lets say movie wakati wa kulipia akawa busy na simu? Tena ndo anajifanya hasikii aende kuzungumzia mbaliiiiiii, ukishalipa tu simu inaisha?

Kuna wanaume wanawekwa mjini na wadada siku hizi mbaya zaidi akihongwa na yeye anahonga (hehehe umenikumbusha kisa, mdada alihonga cheni, akakuta imevaliwa na mwengine? Tena alijikimu boom yake masikini akatoa zawadi ya valentine....)

Au kila mkitoka out mwenzio kasahau kadi yake ya atm? utaamniwa mamii cover ntakurefund ndo inakua ntolee hiyo (kumbuka mwenyewe hukuwa na mpango wa kutoka, ushajipikia mgali kwa mlenda yeye ndo anakubembeleza kwa mahaba yote)

akhuuuuuuh mwenzangu mie stakiiiiiiiiiiiiiiii

Kwa hao wa style hiyo nakubaliana na wewe BADILI TABIA. Unastahili kupata hiyo A+.
 
Last edited by a moderator:
Hivi kwa nini lakini mwanamke unaamua kumhudumia mwanaume .mwanaume ambaye ni mwanaume sio jello.mwanaume anaekupenda hakutumii, hakuombi pesa ya mafuta ya gari wala hutomlisha.mwanaume ukimfanyia hayo hatokaa akuamini na wala hakudhamini.mwache mwanaume awe mwanaume.kama umeshawahi kuombwa pesa please leave yaani mnasikitisha poleni

Dunia/maisha yamebadilika sana.....
Gone are the days, ambapo mwanaume ndiye mwenye uwezo wa kifedha...siku hizi kutokana na mabadiliko ya kimfumo...wanawake wengi zaidi wanafanya kazi, wamesoma/wanasoma, wamejiajiri n.k hivyo...shime...amka.... dunia inasonga mbele...inasikitisha kama hilo ulioni...
 
mwaJ hapa naona nitamfanya Natalia atapike buree kwa koment yangu.

binafsi siwez kumwaha mume wangu aonekane lofa kachoka, gari chafu ama halina fuel kisa tu hana hela to me thats big no. na hata kama anazo siku moja moja nikiuza kuku wangu na kupata hela basi yeye kumpa kiasi ama sehem ya faida yangau kama mume wangu sioni kama ni tabu.

so far huwa siangalii tu ataniona vipi when it comes kwenye ishu ya kumuhudumia hubby. hivi mwaJ wewe unaonaje labda umetokelezea ukanoga uspime halafu anakuja hubby yuko shabby uspime wewe unaonaje??

to me ni bora mume wangu na wanangu wawe wasafi na smart hata kama kunizidi mm mama kuliko wakawa shabby.

Nitakuheshimu sana kuanzia leo...nimeona vitu vingi kwenye maelezo yako..stay blessed
 
MwaJ, aliitwa mwanamme ili awe mwanamme, sio mwanamme mwenye tabia za kike. akifulia matatizo yake apeleke kwa wanaume wenzie, sio aje kwangu akilialia shida ka mwanamke. wanawake hawakuumbwa kusaidia wanaume, ila wanaume wameumbiwa hilo, kumsaidia mwanamke. mwanaume kulialia kutwa kwa mwanamke kua ana shida, ni kujidhalilisha. kama ni mume wangu, na nimeona kua kidogo mambo yake hayako sawa, nitamsaidia, lakini ni kwa kupenda, si kwa kushurutishwa, maana si wajibu wangu. Ila mimi nikitetereka ni wajibu wake kutoa msaada.
wanawake tuwe macho tusiendekeze huu ujinga, ndio maana wanaume wanaolelewa wamezidi sababu ya fikra zetu finyu, za kudhani una wajibu wa kumsaidia.

Kwa mara ya kwanza nime unlike like niloitoa! Nilikupa like kabla sijasoma material ya topic hii. Ha ha haaaaaaa, hongera kwa kupata mia kwa mia! Kama grade one vile! Mie nimepata karai "C"! Maana sijakubaliana na teacher Natalia kama kawaida yangu!

What if huyo mwanaume wako ameishiwa au mambo yake hayajakaa sawa? Utamwacha afe njaa? Hutamwekea mafuta ya gari? Kama ni mumeo je? Will you leave him just because kafulia? Na concept ya kusaidiana katika maisha mnaichukuliaje? Binafsi sichukulii hiyo kama ni kuhonga. BADILI TABIA acha tu nipate karai kwa kutokubaliana na teacher! snowhite, gfsonwin, FP na wengine hebu wekeni mawazo yenu hapa labda tutakuwa na the second school of thought kuhusu hili suala.
 
MwaJ, aliitwa mwanamme ili awe mwanamme, sio mwanamme mwenye tabia za kike. akifulia matatizo yake apeleke kwa wanaume wenzie, sio aje kwangu akilialia shida ka mwanamke. wanawake hawakuumbwa kusaidia wanaume, ila wanaume wameumbiwa hilo, kumsaidia mwanamke. mwanaume kulialia kutwa kwa mwanamke kua ana shida, ni kujidhalilisha. kama ni mume wangu, na nimeona kua kidogo mambo yake hayako sawa, nitamsaidia, lakini ni kwa kupenda, si kwa kushurutishwa, maana si wajibu wangu. Ila mimi nikitetereka ni wajibu wake kutoa msaada.
wanawake tuwe macho tusiendekeze huu ujinga, ndio maana wanaume wanaolelewa wamezidi sababu ya fikra zetu finyu, za kudhani una wajibu wa kumsaidia.

Mie naona wanawake tunapenda sana dezo mpaka tunajidhalilisha kwa kisingizio kuwa hatukuumbwa kusaidiwa mwanaume bali sisi kusaidiwa. Mtu umesoma, una kazi nzuri wakati mwingine inalipa kuliko ya mwanaume kwanini usimsaidie akikwama umwache apeleke shida yake nje kwa wanaume wenzie?

Mie nawazungumzia wanaume walio katika mahusiano thabiti kama ndoa au mahusiano ya muda mrefu hata kama hamjafunga ndoa. Siwazungumzii masharobaro/mariooooo wakupita. Inabidi tutofautishe hapo.
 
  • Thanks
Reactions: Sal
Mwanaume wallet wasio na wallet wawekwe jela wanaibia wanawake

ha ha natalia bwana nimependa hiyo subiri kwanza.
Hivi weewe unawazaga hela na wanaume tu????
 
Kwa mara ya kwanza nime unlike like niloitoa! Nilikupa like kabla sijasoma material ya topic hii. Ha ha haaaaaaa, hongera kwa kupata mia kwa mia! Kama grade one vile! Mie nimepata karai "C"! Maana sijakubaliana na teacher Natalia kama kawaida yangu!

What if huyo mwanaume wako ameishiwa au mambo yake hayajakaa sawa? Utamwacha afe njaa? Hutamwekea mafuta ya gari? Kama ni mumeo je? Will you leave him just because kafulia? Na concept ya kusaidiana katika maisha mnaichukuliaje? Binafsi sichukulii hiyo kama ni kuhonga. BADILI TABIA acha tu nipate karai kwa kutokubaliana na teacher! snowhite, gfsonwin, FP na wengine hebu wekeni mawazo yenu hapa labda tutakuwa na the second school of thought kuhusu hili suala.

Kuna wanaume ambao wao kutoa pesa ni issue. Kwahiyo hata akija na hoja ya kuishiwa huwezi kumuelewa hasa linapokuja swala la kutoa matumizi kwenye familia au kwa mkewe. Ila kwa watu anatambia mafanikio ya familia kama vile yeye ndiye aliyefanya hivyo!
 
  • Thanks
Reactions: Sal
Back
Top Bottom