Son of Alaska
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 2,812
- 1,070
WEWE Natalie huyo kibabu wako lazima amechoka-hivyo mwanamume akupige GANGHAM style utakosa kuhonga???
kwani God alikuwa hajui alipopanga majukumu???
mumewe atakuwa chuma ataish milele akiwa na pesa na thamani kubwa zaid ya almasi. Kwa sisi wengine huu sio ushauri hata kiidogo. Kwanza mie huwa najiskia fahari kumpa mume wangu hela hata kama anazo.
Na huwa sipendi asononeke kwa kukoa hela sasa nikiangalia wallet imebaki na business cards tu basi lazima nijifunge mama nimwekee na yeye japo za kuitwa amwanaume lol!
Wewe kinachokuuma ni nini?
Mwalimu, Na mimi mwanafunzi wako naomba hela jamani.
WEWE Natalie huyo kibabu wako lazima amechoka-hivyo mwanamume akupige GANGHAM style utakosa kuhonga???
Mwanaume wallet wasio na wallet wawekwe jela wanaibia wanawakeNaona umejaribu kukwepa swali!
Mungu pamoja na kutoa nafasi kwa mwanaume kuwa kichwa na kumtunza mkewe lakini haikumaanisha mwanamke awe mtu wa kupewa, naamini kama kweli uko na mtu na unampenda huwezi ukawa mgumu kutoa!
Mimi naamini kuwa hakuna asiyependa kupendwa, hivyo basi kipimo unacho pewa nawe jitahidi kutoa hicho hicho!
SASA mbona kila dalili inaonyesha kwamba you dont get any attention matokeo yake una seek solace kwa kujiliwaza humu JFMume wangu sio mzee.ananitia kisawasawa na mchochomeo wake hallelujah .Ananila kunako mpaka sijielewi nipo dunia gani.my hubby cooks for us washes my clothes tunaoga wote swimming wote nitake nini duniani my hubby .mume wangu anamsemo my money is your money and nallys money is nalli's .I love my hubby yaani u wiiiiiii
Hahahahahahahahahahahahaha
Natalia me nafikiri mapenzi ni kusaidiana na wala si kufujana!
Me naona kila mtu lazima atimize wajibu wake! Na linapokuja swala la kuspend pesa ni mapenzi ndio yanaongoza matumizi, kuna wanawake wanaona sawa kuwapa wanaume pesa kwa hiyo tusiwanyime haki yao!
Ngoja ni wakaribishe walimu wangu kwenye kipindi@gfsonwin na snowhite!
mwaJ
Mtu Ana mimba a nafanya kazi ??? Huyo ni mwanaume wa kuafrika .mjipende bwanaaaa msiwababaikieeee hivyo
Mwanaume wallet wasio na wallet wawekwe jela wanaibia wanawake
Naona umejaribu kukwepa swali!
Mungu pamoja na kutoa nafasi kwa mwanaume kuwa kichwa na kumtunza mkewe lakini haikumaanisha mwanamke awe mtu wa kupewa, naamini kama kweli uko na mtu na unampenda huwezi ukawa mgumu kutoa!
Mimi naamini kuwa hakuna asiyependa kupendwa, hivyo basi kipimo unacho pewa nawe jitahidi kutoa hicho hicho!
loya achana na mapokeo ya zamani..badilika bana...ideas zako kwenye malovee ziko outdated smhow!!!
Sijawahi kuomba Msaada hapa.ila natumia hili jukwaa kushare what is good and better.i never work nikiamka asubuhi computer na mimi Nina Uza Tv bongo na nina blog nauza vitu so all the time nipo Kwenye comp .my hubby Ana clinic 3 ,we meet at lunch .I have good life I'm blessed.nipo TMZ , kila blog .Kwa if ufupi I have online retails store .I'm here to look for customers too nimepata wa kununua Tv a lot of opportunity here especially business .I study and target customers .Good luckSASA mbona kila dalili inaonyesha kwamba you dont get any attention matokeo yake una seek solace kwa kujiliwaza humu JF
hahahah na mie nimescore 100% leo...chezeya kuhongwa!!!! nani hataki?? ila kuhonga...mmmhhhhh
Kwa mara ya kwanza nime unlike like niloitoa! Nilikupa like kabla sijasoma material ya topic hii. Ha ha haaaaaaa, hongera kwa kupata mia kwa mia! Kama grade one vile! Mie nimepata karai "C"! Maana sijakubaliana na teacher Natalia kama kawaida yangu!
What if huyo mwanaume wako ameishiwa au mambo yake hayajakaa sawa? Utamwacha afe njaa? Hutamwekea mafuta ya gari? Kama ni mumeo je? Will you leave him just because kafulia? Na concept ya kusaidiana katika maisha mnaichukuliaje? Binafsi sichukulii hiyo kama ni kuhonga. BADILI TABIA acha tu nipate karai kwa kutokubaliana na teacher! snowhite, gfsonwin, FP na wengine hebu wekeni mawazo yenu hapa labda tutakuwa na the second school of thought kuhusu hili suala.