Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
yaani mimi hata kama hajaishiwa nahonga tuuuuuu, ninapenda mno kuhonga, hasa kama muhongwaji anapenda pia.......Kwa mara ya kwanza nime unlike like niloitoa! Nilikupa like kabla sijasoma material ya topic hii. Ha ha haaaaaaa, hongera kwa kupata mia kwa mia! Kama grade one vile! Mie nimepata karai "C"! Maana sijakubaliana na teacher Natalia kama kawaida yangu!
What if huyo mwanaume wako ameishiwa au mambo yake hayajakaa sawa? Utamwacha afe njaa? Hutamwekea mafuta ya gari? Kama ni mumeo je? Will you leave him just because kafulia? Na concept ya kusaidiana katika maisha mnaichukuliaje? Binafsi sichukulii hiyo kama ni kuhonga. BADILI TABIA acha tu nipate karai kwa kutokubaliana na teacher! snowhite, gfsonwin, FP na wengine hebu wekeni mawazo yenu hapa labda tutakuwa na the second school of thought kuhusu hili suala.
wanasema kupeana ni kikoa rafiki............