Ujumbe wa mwaka mpya: Wadada mnaolea wanaume muache!

Ujumbe wa mwaka mpya: Wadada mnaolea wanaume muache!

You deserve my dear. Nimekuwa nikifuatilia michango yako mbalimbali unaonyesha wewe ni mkarimu pia nadhani wewe ni mwema mzuri wa familia. Hata mambo mengine ya kijamii unaonyesha kujali, mfano ulivyoongelea suala la madaktari!

Bravo!
am dearly humbled!
 
Kwa mara ya kwanza nime unlike like niloitoa! Nilikupa like kabla sijasoma material ya topic hii. Ha ha haaaaaaa, hongera kwa kupata mia kwa mia! Kama grade one vile! Mie nimepata karai "C"! Maana sijakubaliana na teacher Natalia kama kawaida yangu!

What if huyo mwanaume wako ameishiwa au mambo yake hayajakaa sawa? Utamwacha afe njaa? Hutamwekea mafuta ya gari? Kama ni mumeo je? Will you leave him just because kafulia? Na concept ya kusaidiana katika maisha mnaichukuliaje? Binafsi sichukulii hiyo kama ni kuhonga. BADILI TABIA acha tu nipate karai kwa kutokubaliana na teacher! snowhite, gfsonwin, FP na wengine hebu wekeni mawazo yenu hapa labda tutakuwa na the second school of thought kuhusu hili suala.
Wewe sister mimi nakupa miya ya mia. Maisha ni kusaidiana. Wanawake wachunaji hwawezi olewa maana hata mwanaume anajua kuwa huyu siyo mtu. KWa mwanamke kama huyu mwanaume huwa anafata ngono na kulipa na iposiku lazima amuache maaana ni mzigo. Ndoa ni kupendana siyo ndoano.
 
mwaJ hapa naona nitamfanya Natalia atapike buree kwa koment yangu.

binafsi siwez kumwaha mume wangu aonekane lofa kachoka, gari chafu ama halina fuel kisa tu hana hela to me thats big no. na hata kama anazo siku moja moja nikiuza kuku wangu na kupata hela basi yeye kumpa kiasi ama sehem ya faida yangau kama mume wangu sioni kama ni tabu.
so far huwa siangalii tu ataniona vipi when it comes kwenye ishu ya kumuhudumia hubby. hivi mwaJ wewe unaonaje labda umetokelezea ukanoga uspime halafu anakuja hubby yuko shabby uspime wewe unaonaje??

to me ni bora mume wangu na wanangu wawe wasafi na smart hata kama kunizidi mm mama kuliko wakawa shabby.
.Wewe pia ni mwanamke. Unafaa kwelikweli. Unaonyesha una mapenzi ya kweli. Kama ungekuwa hujaolewa leo watu WangekuPM kibao.
 
wanawake acheni mfumo jike huyo aliyetoa hiyo thread hana ubunadamu kabisa wapo wanawake wenye kipato kuliko wanaume sasa unataka wasiwasaidie wanaume kwa nini kajifunzeni mwenzio anaweza kupatwa na matatizo kwa hiyo hata kama ni mwanaume asisaidiwe? acheni fikra potofu najua kuna baadhi ya wanawake wapumbavu wakaaga kwenye vyombo vya habari kuwapumbaza wananawake wenye akili zao shukrani kwa wanawake mliokataa hiyo comment!
 
.Wewe pia ni mwanamke. Unafaa kwelikweli. Unaonyesha una mapenzi ya kweli. Kama ungekuwa hujaolewa leo watu WangekuPM kibao.

Daaah! Mwalimu wangu gfsonwin kuja pande hii!
hey brothes!!
hapa jukwaani tupo ili kujifunza na ni vyema tukashare good experiences na wenzetu kwani ndio mahali ambapo mtu anakuwa anaona wenzie wanafanyaje mambo.

naamin kabisa kwa mtazamo uliotolewa na Natalia unamfaa zaid yeye kwan ndio njia aliyooichagua na haya niiyosema mm nimeona kwangu yanafanya kazi.

ninashauri tu huu ushauri wa hapa jamvini muuchukue kwa akili za macho ya ndnai na si haya ya nje.
 
Last edited by a moderator:
hahahah kipele kimepata wakunaji lol....hahahahah
 
MwaJ, aliitwa mwanamme ili awe mwanamme, sio mwanamme mwenye tabia za kike. akifulia matatizo yake apeleke kwa wanaume wenzie, sio aje kwangu akilialia shida ka mwanamke. wanawake hawakuumbwa kusaidia wanaume, ila wanaume wameumbiwa hilo, kumsaidia mwanamke. mwanaume kulialia kutwa kwa mwanamke kua ana shida, ni kujidhalilisha. kama ni mume wangu, na nimeona kua kidogo mambo yake hayako sawa, nitamsaidia, lakini ni kwa kupenda, si kwa kushurutishwa, maana si wajibu wangu. Ila mimi nikitetereka ni wajibu wake kutoa msaada.
wanawake tuwe macho tusiendekeze huu ujinga, ndio maana wanaume wanaolelewa wamezidi sababu ya fikra zetu finyu, za kudhani una wajibu wa kumsaidia.

Sal isije ikawa ww ndo rais wa WANAWAKE WANAOHONGA
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Sal
Hivi kwa nini lakini mwanamke unaamua kumhudumia mwanaume .mwanaume ambaye ni mwanaume sio jello.mwanaume anaekupenda hakutumii, hakuombi pesa ya mafuta ya gari wala hutomlisha.mwanaume ukimfanyia hayo hatokaa akuamini na wala hakudhamini.mwache mwanaume awe mwanaume.kama umeshawahi kuombwa pesa please leave yaani mnasikitisha poleni

Natalia isije ikawa ushakua na PhD ya wahongaj ila sasa yamekufika tu
 
Last edited by a moderator:
nitatoa kwa mapenzi yangu, na hilo limkae akilini. sio kwa kushurutishwa. yeye kama baba wa nyumba ajue majukumu yake bila kuambiwa na mtu au kukumbushwa.
tatizo wanaume wa siku hizi akishaona hapa kuna msaada, anajisahau kabisa majukumu yake, ndani ya nyumba lakini pesa ya kulipa kodi za mahawara zipo.
mnapenda dezo sana wanaume wa siku hizi. nyumbani hamtaki kutoa lakini mtaani mnahonga tena vitu vya gharama. mwingine alokosa adabu anatamba kabisa kwenye bar "mke wangu anafanya kila kitu nyumbani". huna haya mwanamme mzima unasaidiwa na mkeo badala ya kukaa kimya unaenda kumtangaza. Ili iweje?
Ili uwe mwanamme timiza majukumu yako kama mwanamme, sio kula kulala na kujifanya maisha magumu tusaidiane.
Labour nasaidiwa na nani? mbona mnakwepa maandiko kwa kisingizio cha ugumu wa maisha, kwani mungu alivyopanga hakujua haya? acheni hizo.

Naona umejaribu kukwepa swali!
Mungu pamoja na kutoa nafasi kwa mwanaume kuwa kichwa na kumtunza mkewe lakini haikumaanisha mwanamke awe mtu wa kupewa, naamini kama kweli uko na mtu na unampenda huwezi ukawa mgumu kutoa!

Mimi naamini kuwa hakuna asiyependa kupendwa, hivyo basi kipimo unacho pewa nawe jitahidi kutoa hicho hicho!
 
mpaka mwanaume apate pesa yangu, basi ajue maji yamefika shingoni. akubali kuitwa mwanamke na mimi ndio mwanamme.
manyanyaso nitakayompa, hataomba tena. ili iweje kuhonga mwanamme? nampenda sana, au mtamu sana? maana mie sipati picha.

Sal isije ikawa ww ndo rais wa WANAWAKE WANAOHONGA
 
wanaolelewa utawajua tu. usaidiwe wewe mlemavu, mambo ya kipato inahusu nini, wewe mwanamme kuna kichwa familia ile na watoto wasome. ndio uanaume wako. mwanamme suruali wa nini?
kama mkeo anakuzidi kipato, tafuta miradi ili umzidi utelekeleze majukumu yako vizuri. acha kulialia hapa mwanamme mzima. utasaidiwa kwa kupenda si kwa kulazimishwa.

wanawake acheni mfumo jike huyo aliyetoa hiyo thread hana ubunadamu kabisa wapo wanawake wenye kipato kuliko wanaume sasa unataka wasiwasaidie wanaume kwa nini kajifunzeni mwenzio anaweza kupatwa na matatizo kwa hiyo hata kama ni mwanaume asisaidiwe? acheni fikra potofu najua kuna baadhi ya wanawake wapumbavu wakaaga kwenye vyombo vya habari kuwapumbaza wananawake wenye akili zao shukrani kwa wanawake mliokataa hiyo comment!
 
mpaka mwanaume apate pesa yangu, basi ajue maji yamefika shingoni. akubali kuitwa mwanamke na mimi ndio mwanamme.
manyanyaso nitakayompa, hataomba tena. ili iweje kuhonga mwanamme? nampenda sana, au mtamu sana? maana mie sipati picha.

utaendelea kuwa mwanamke na yeye ataendelea kuwa mwanaume,hata umwite mwanamke mwisho wa siku atakukojolea tu na ukienda toilet UTAKOJOA HUKU UMECHUCHUMAA WHILE YEYE ANAKOJOA HUKU AMESIMAMA (KAMA AKIPEBDA ATACHUCHUMAA JAPO SI LAZIMA)
 
nitatoa kwa mapenzi yangu, na hilo limkae akilini. sio kwa kushurutishwa. yeye kama baba wa nyumba ajue majukumu yake bila kuambiwa na mtu au kukumbushwa.
tatizo wanaume wa siku hizi akishaona hapa kuna msaada, anajisahau kabisa majukumu yake, ndani ya nyumba lakini pesa ya kulipa kodi za mahawara zipo.
mnapenda dezo sana wanaume wa siku hizi. nyumbani hamtaki kutoa lakini mtaani mnahonga tena vitu vya gharama. mwingine alokosa adabu anatamba kabisa kwenye bar "mke wangu anafanya kila kitu nyumbani". huna haya mwanamme mzima unasaidiwa na mkeo badala ya kukaa kimya unaenda kumtangaza. Ili iweje?
Ili uwe mwanamme timiza majukumu yako kama mwanamme, sio kula kulala na kujifanya maisha magumu tusaidiane.
Labour nasaidiwa na nani? mbona mnakwepa maandiko kwa kisingizio cha ugumu wa maisha, kwani mungu alivyopanga hakujua haya? acheni hizo.

nadhan hapa hajadiliwi mume mlevi ila yule anayehitaj sapot muhim,amefukuzwa kazi au ana mirad imetetereka,haya mambo yapo,mume mlevi hapasw kusaidiwa hapa ushasema mlevi.UPO TAYAR WANAO WALALE NJAA AU WASIENDE SHULE WAKAT UWEZO UNAO NA MUMEO AMETETEREKA KIUCHUMI?
 
Back
Top Bottom