Bwana Nyerere aliwahi kuandika ya kwamba.Yeye kafanyia mema wangapi? Mimi huu unafiki hata siku moja siupendi.
Jibu hoja si matusiWe kweli ni mpumbavu
Lakini ni mwizi asingeiba serikali ingetumia hela alizoiba kuajiri bila yeye
hawa METL waanze huko kwenye makapuni yao kwa kuwalipa wafanyakazi vizuri hapo MO atakuwa anatekeleza vizuri hiyo imani yake! Watu wanalia huko METL mshahara kiduchu sana.
haujawahi kumuona Rais anaomba kanisani?Dah yaan anayelilia kuombewa mwingine anayemtetea anajiombea mwingine yaan raisi ana wasemaji wengi khaaa
Mkuu hiyo ni relative term, mshahara kiduchu unaanzia kiasi gani?
Unajua maana ya living wage?
endelea kunipa somo mkuu, hiko kizungu nimetoka kapa
Anzisha wewe kampuni yako ili uwalipe vizuri wafanyakazi wako.Kweli hii ni imani ya nguzo ya juu sana lakini hawa METL waanze huko kwenye makapuni yao kwa kuwalipa wafanyakazi vizuri hapo MO atakuwa anatekeleza vizuri hiyo imani yake! Watu wanalia huko METL mshahara kiduchu sana.
Anzisha wewe kampuni yako ili uwalipe vizuri wafanyakazi wako.
Mbona matusi tena? kama hukuupenda ushauri wangu si ungejibu bila matusi? au unadhani mimi sijui kutukana?Acha usenge wako, Hapa tunaelimisha Watu wanafiki wanaofikiri sisi sote ni mbumbumbu; wanaodhani wanaweza kuwatumia wananchi kama kondom halafu wanajifanya wanawasaidia!
Mbona matusi tena? kama hukuupenda ushauri wangu si ungejibu bila matusi? au unadhani mimi sijui kutukana?
Sasa kilichokufanya unitukane nikipi? kwanini umenitukana?Mimi nina kampuni yangu na ninawalipa wafanykazi wangu mshahara wa kuridhisha, hawalalamiki kama wa METL! Wafanyakazi menu wakilalamikia mshahara mdogo mnawafukuza kazi!
Sasa kilichokufanya unitukane nikipi? kwanini umenitukana
Binti unachokitafuta utakipata,endelea tu kujitoa ufahamu.Kwani wewe ni LGBT anayejificha mbona unahamaki sana?
Binti unachokitafuta utakipata,endelea tu kujitoa ufahamu
'Living wage" ni ujira anaopata mfanyakazi ili kukidhi mahitaji yake ya muhimu kwa mwezi mzima!!
Baada ya hii post nimeshangas sana wewe ni m2 wa aina gan. Nlchokifanya ni kusoma post zsko za nyuma na kugundua kuwa wewe ni bendera fata upepoYeye kafanyia mema wangapi? Mimi huu unafiki hata siku moja siupendi.
Hii ya kutenda mema hata kama umefanyiwa ubaya, nadharia yake ni nyepesi sana, kazi ipo kwenye kutekeleza falsafa hii kwa vitendo. Inaonekana Mo anamaanisha alichoandika, hongera zake sana.