Mfalme Suleiman aliomba yeye mwenyewe hekima na busara kwa mwenyezi Mungu huyu wa kwetu anaomba aombeweBy Mwandishi Wetu, Mwananchi
IN SUMMARY
Mfanyabiashara Mohamed Dewji ametumia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter kuandika ujumbe kuhusu anayekufanyia mabaya umlipe kwa mema na kuwagusa watu wa kada mbalimbali
Dar es Salaam. Ujumbe wa mfanyabiashara Mohamed Dewji ‘Mo’ aliouweka katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter akizungumzia kutenda mema hata kama umefanyiwa ubaya umeibua mjadala mitandaoni.
Katika ujumbe huo Mo ambaye alitekwa na watu wasiojulikana Oktoba 11, 2018 na kupatikana Oktoba 20, 2018 ameandika, “Hutofanya ubaya kwa aliyekufanyia ubaya, ila utamsamehe na kumfanyia ukarimu.” Mtume Muhammad (S.A.W) JumaahKareem.
Baada ya ujumbe huo watu wa kada mbalimbali wametoa maoni yao akiwemo waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii, Khamis Kagasheki aliyesema, “Hii ni imani ya ngazi ya juu sana.”
Wengine walioonyesha kuguswa na ujumbe huo ni @MsTayanah aliyeandika, “ila mkuu watanzania bado tungependa kujua walikupeleka wapi mkuu.”
Naye gagula16 ameandika, “Safi sana ndio maana halisi ya hekima. Na ndio maana mfalme Suleiman aliomba hekima na busara kwa mwenyezi Mungu.”
Naye MrMsambwe6% amesema, “Mungu akubariki katika kutufikishia ujumbe katika siku takatifu ya leo Nikutakie ijumaa Kareem.”
“Watu wakarimu tunalipizaga ubaya kwa wema mpaka wanaona aibu,” amesema Bonimawalla.
Soma zaidi: VIDEO: Polisi waonyesha nyumba aliyohifadhiwa ‘Mo’ Dewji
Yeye kafanyia mema wangapi? Mimi huu unafiki hata siku moja siupendi.By Mwandishi Wetu, Mwananchi

Yeye kafanyia mema wangapi? Mimi huu unafiki hata siku moja siupendi.
Hana ubavu wa kupambana na MagufuliBy Mwandishi Wetu, Mwananchi

Hii ya kutenda mema hata kama umefanyiwa ubaya, nadharia yake ni nyepesi sana, kazi ipo kwenye kutekeleza falsafa hii kwa vitendo. Inaonekana Mo anamaanisha alichoandika, hongera zake sana.
Uwezo wa ubongo wako umehitimisha hivyo... ila kuna mwingine mwenye ubongo mzuri zaidi atahitimisha vingine.Katoa ajira,ni mlipa kodi mkubwa,ni mnunuzi wa mazao ya wakulima,
unafikiri Suleman alikuwa haombewi?Mfalme Suleiman aliomba yeye mwenyewe hekima na busara kwa mwenyezi Mungu huyu wa kwetu anaomba aombewe
umesoma kilichoandikwa au umekimbilia kuandika uduvi tu?Aheri wanaoitwa mabeberu kuliko hawa wanafiki wa safari hii.
Majitu yamekuwa na roho za kinyama lla bado kuna maibilisi yanawatetea kisa tu yananufaika na uwepo wao.Ubinafsi wa kiwango cha juu sana huu!!
We delicious koma kabisa kunizoea, ambaruti mkubwa weweunafikiri Suleman alikuwa haombewi?
Hujui kuwa Daudi kabla ya kufa alimuombea Sulemani?
Unafikiri Rais wetu hajiombei?
Huu upumbavu unaununua genge lipi?
matusi yote yanatoka wapi?We delicious koma kabisa kunizoea, ambaruti mkubwa wewe
We kweli ni mpumbavumatusi yote yanatoka wapi?
Mbona unaminya demokrasia?
Mbona unaminya uhuru wa kutoa maoni?
You preach what you don't live in!
Thats hypocricy dude.
Anatuona mizwazwa[emoji16][emoji16]hata hapo anapoishi kuna wahitaji kibao!!!!angeanza nao.Yeye kafanyia mema wangapi? Mimi huu unafiki hata siku moja siupendi.
bado unaminya demokrasiaWe kweli ni mpumbavu
Yap!kwa bei anayoitaka yeye.Katoa ajira,ni mlipa kodi mkubwa,ni mnunuzi wa mazao ya wakulima,