Ujumbe wa leo mlio kwenye ndoa, na mahusiano

603318d6740539d87eaf708bfad6336a.jpg
Watatuua kwa presha...mbuzi zaoo...
 
Mie marufuku kupekenyua simu yangu sipendi, tena sipendi kabisa...
 
Wengine maisha ni simple.. Sijawahi kufunga simu.. Ukitaka kushika..shika! Ila utaratibu wangu Sishiki simu ya MTU.. Kukiwa na kitu kinakuhusu mtu atakuonesha mwenyewe.

Kwa nn ushike simu ya MTU.. Au pry in his/her personal details? Unless its your job!

Na wale wanaochungulia simu za watu kwenye daladala ...dawa yao inachemka.

hhahaa kwakweli kuna watu wanachungulia simu kwenye madalaldala !hahaha ujinga sana
 
Mimi kabla ya kuoa miongoni mwa terms and conditions tulizowekeana na mke wangu ni marufuku kuweka password kwenye simu,ninaweza kuchukua simu yake muda wowote na kupekua simu mzima na anaweza kuchukua simu yangu na kupekuwa simu yote.

Kama kila mtu ana siri yake sasa kwanini tulioana au kwanini tunaendelea kuishi pamoja.
 
Duuuh
 
Hio ndio maana ya ndoa mkuu, wala hujakosea , hata mimi ninampango wakufanya hivyo pindi nikimpata mchuchu wangu masharti ni hayo hayo
 
Mi simu ya mwanamke nitapekenyua na nitahack simu yake kabisa, siku hizi hakuna kuaminiana, sio katika mapenzi tu, hata mali pia, wanawake wengine wanakubali waolewe ili watapeli mali za waume
 
hahaha alafu nyie wa kusemaga wanawake wanaolewa watapeleli mali !haha unakuta mwanaume mwenyew hana hata mali hana bado anakaa nyumba za kupanga lakini kuuuuutwa kupiga mikelele tu !wenye fweza zao akuu wako kimyaa!
l
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom