mdesi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 1,375
- 2,267
Umenikumbusha wife alikuwa mjazito, Simu take iliwa jirani na pale nilipokuwepo mimi, yeye alikuwa katoka kuoga, mara SMS ikaingia kwnye simu. Sasa hizi smartphone sms ikiingia huwa inakuwa inaonesha sehemu ya hiyo SMS, ile nimechukua ile simu nikawa kama naipitisha kwa macho nione kilichoandikwa, sikuweza amini alinirukia kwa nguvu! Ila nikaweza kuidhibiti ile simu nguo aliyokuwa amevaa ikawa imedondoka amebaki uchi, lakini hakujali aliendelea kufight kinyang'anya ile Simu akiwa uchi kabisa. Nikaona isiwe kesi nikamuachia. Kucheki hivi kumbe in sms kutoka Voda. Sasa sijui huwa kuna kuwa na nini? Nashindwa kuelewa in short.