Ujumbe wa leo mlio kwenye ndoa, na mahusiano

Ujumbe wa leo mlio kwenye ndoa, na mahusiano

Mke aliniazima simu acheze game, kwa bahati mbaya ikaingia msg ya mchepuko, akataka aifungue aisome, mara ooh mume wangu hebu toa password " mi nilimwambia koma simu yangu nimekupa ucheze game sio mengine" ***** ilipigwa na ukuta[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] pole sana mkuu.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] pole sana mkuu.
Naikumbuka sana simu yangu
hTc my photos, ilikuwa kali ile balaa, 2013 ikiwa na 4g.
cb76187784d61000cd80f4edea739408.jpg
 
hata status ya dem wako ya whatsaap usifungue awachelewi kumpost sponsor alafu na kumuacha huwezi ukabaki kubweka bweka tu
 
Hivi hii ni sawa kweli? Nyie zetu kutwa kupekecha why na nyie zenu zisiguswe? Nagusa kama mbwai na iwe mbwai
Sijawahi gusa simu ya mwanamke na sitokuja kufanya...wakati huo huo marufuku kwa mbunye kushika simu yangu
 
Back
Top Bottom