Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,715
Simu ya mwanaume...ni ya kuiogopa kama ukoma, au kitunguu swaum ukiipekua sana! Itakuwasha machoni...na kujisababishia kujiletea malumbano na magomvi ndani ya nyumba zenu!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Mizengwe mitupu mkuu.ya mwanamke km vvu.
Simu ya mwanaume...ni ya kuiogopa kama ukoma, au kitunguu swaum ukiipekua sana! Itakuwasha machoni...na kujisababishia kujiletea malumbano na magomvi ndani ya nyumba zenu!
me sigusi !na yangu usiguse !basHivi hii ni sawa kweli? Nyie zetu kutwa kupekecha why na nyie zenu zisiguswe? Nagusa kama mbwai na iwe mbwai
Simu ya mwanaume...ni ya kuiogopa kama ukoma, au kitunguu swaum ukiipekua sana! Itakuwasha machoni...na kujisababishia kujiletea malumbano na magomvi ndani ya nyumba zenu!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kipindi nuru hajanipiga limbwata alikuwa akigusa simu yangu tu namshushia kipigo.
Aifai usifanye hivyo mpendwa.Hivi hii ni sawa kweli? Nyie zetu kutwa kupekecha why na nyie zenu zisiguswe? Nagusa kama mbwai na iwe mbwai
Wanasikia hao! Wenzetu wagumu kama nini kuelewa mkuu.Ruksa kushikana na siyo kushikiana simu
Kila mtu na simu yake...spiendi kuipekenyua simu ya wife, hila yeye anapenda sana!simu ya mwanamke iogopeni pia !ni kama kitunguu maji lazima ikutoe machozi!usiku mwema
Hivyo hivyo ngoma droo.me sigusi !na yangu usiguse !bas
Simu mara nyingi ndio zinazoleta usumbufu ndani ya nyumba nyingi mkuu, wee chunguza tu utaona, ndoa nyingi zinapagaranyika kwa sababu ya simu mkuu.Uamininifu hauko kwenye simu.
Je, wasio na simu utakataza wasishike nini!?