singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,538
wenzake kina membe na sita wametulia sijui yeye anahangaika nini wakati watanzania tulishamkataa, mwache apate za uso tena 2020 atoke manunduMsanii maarufu Masoud kipanya katika ujumbe wake wa katuni amemtaka Lowasa aachane na siasa kwani hana mvuto tena.Ujumbe wake huu hapa
![]()