Ujumbe wa leo kwenye katuni

Ujumbe wa leo kwenye katuni

Wafuas wa ukawa!!! Kipanya huyo kuna katuni nyingi tu alikuwa akimchora Mh Magufuri na mlikuwa mnamsifia leo kamchora Lowasa eti anaonekana mbaya......Mtaendelea kuwa wapinzan milele unless mbadilike ...
 
MKWEPAKODI, nimefuatilia kwenye gazeti la Mwananchi ambako Mr Massoud aka Kipanya huwa anachapisha cartoon zake na kwa toleo la leo tarehe 20 Machi 2016 nimekuta kuna katuni tofauti na hii uliyotoa. Nashauri ufanye marekebisho.
20160320_162400.jpg
 
Acha kumsingizia kipanya wewe, kipanya hajachora huo upuuzi!
 
Kwa kawaida serikalo ni baba, na kwa baya au zuri inahusika 100%, tunatakiwa kiikosoa serikali kwa gharama zote, mwandishi ni mtu mhim sana, kalamu yake akiitumia vizuri, atakuwa amesaidia watanzania wengi, kumchokonoa mtu ambaye hna wadhifa wowote kwenye serikali ni kitu kinachokunifaisha ww tu na sio wananchi.
 
Kwa nini mkuu?
Umekuwa mgeni na ccm?kule ukiwadhalilisha viongozi wastaafu au viongozi wa upinzani basi zawadi ni cheo cha kuanzia mkuu wa wilaya.ukizidi kujituma kwa kuwadhalilisha ndo unapanda cheo.
 
Upinzani Tanzania nikama vita ukiwa mpinzani Tanzania we unaonekana jambanzi lkn katiba ndo tatzo
 
Watu wanatokwa povu, kwa sababu kipanya kamchora rais wao wa moyoni. Magufuli na Kikwete walikuwa wanachorwa sana tu, lakini hakuna alieyetokwa povu. Kipanya ujumbe wako umefika.
 
Back
Top Bottom