Ujumbe wa leo kwenye katuni

mcubic

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
10,307
6,514
Picha inajieleza
luwasa.jpg

Waione Mmawia Freeland Chakaza MOTOCHINI
 
WEWEEEE LOWASSA SIO WA HIVYO HATA SIKU 1, ungemjua usingepost umbea umbea wa magazetini.

Ongezeni nguvu za kuiba kura na kuipa ushindi wa goli la mkono CCM kule zanzibar.
Naamini KP atausoma ujumbe wako
 
WEWEEEE LOWASSA SIO WA HIVYO HATA SIKU 1, ungemjua usingepost umbea umbea wa magazetini.

Ongezeni nguvu za kuiba kura na kuipa ushindi wa goli la mkono CCM kule zanzibar.

MWACHENI KIJANA ANATAFUTA UONGOZI KWA HAMU
ANAFUATA MKONDO WA HAWA JAMAA

1.MAKONDA
2.POLEPOLE
3.VICK KAMATA
NAWENGINE WENGI

MAANA BILA HIVO UTAISHIA KUWA MWANACHAMA WA KAWAIDA

HUKU UMBEA UNALIPA
 
Msinichekeshe mimi. Tanzania ina matatizo makubwa ambayo yanahitaji ufumbuzi. Mm nawashangaa Wana ccm. Hivi kwani mliambiwa adui mkuu wa nchi hii ni lowassa. Kwa uelewa wangu mdogo nchi hii ina maadui watatu. Ujinga, maradhi na umasikini. Kwa ushauri wangu mngeanza na maadui hawa watatu ndo muanze kumsakama lowassa wa watu. Nchi imewashinda mnaanza majungu. Mm nilidhani ile slogan yenu ya HAPA KAZI TU mtaitumia kwa vitendo ili watanzania warudishe imani kwenu. Na wa ambiance kitu kimoja. Kama siku mkijiloga mkawapa nchi wapinzani, hamtarudi madarakani maana naamini watafanya maendeleo ambayo nyie yamewashinda
 
Huu ni ujumbe tu, haijalishi anayeupokea anaukubali au anaukataa.....maelezo mengine yanaonesha tu unasimamia upande gani
 
Nilishasema haipiti wiki humu ndani ukakosa thread ya Lowassa huyu ni mtu wa pekee sana. Huwezi zungumzia siasa ya Tanzania bila kumtaja Lowassa.

Teh teh teheee. Hakika historia itawahukumu.
 
Back
Top Bottom