Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,377
Yeah sure daddy, Kila mtu ana style yake ya kupenda. Na sio wanawake wote wanapenda little things kama douta hapa. Ila msitunyime bana, kudekezwa raha mweeeeTeh teh..Bora hata hivyo vidogo basi muwe mnanunua..Hamna kitu...
Hayo mahaba nayahifadhi kwa emergency use..we unataka nitumie silaha zote zen siku ikitokea vita nifanyaje(joking)...Nwei hayo mahaba yanategemea na mtu na mtu..Mwingine hata awe anampenda mwanamke vipi hawezi kufanya hivyo
hua Bina damu hawapo sawa the same and equal in character, feelings,thinking and IQ bado ukaja kugegedana na fundi magari aliekusaidia siku moja tu ulipopata pancha"Some little things matter the most ". It's not even hard to please us lol.
Mnaweza mkawa mnaishi kwenye nyumba nzuri, mkeo utamnunulia gari nzuri, atavaa, atakula vizuri, unampa hela ya kutosha, lakini bila ya kumfanyia vicare vidogo vidogo ataona kama hajakamilika vile. Vile vitu ambavyo nyie mnaviona vya kipuuzi, sijui vya tamthilia ndo vinavyotupa raha wenzenu. Tufanyieni tu jamani mwee, Msisahau kama sisi ni watu wa hisia sana. We want your attention, affection, appeciation etc
Nimekusoma Douta..Basi na ww usiwe na mkono mfupi kwenye kutoa..wanasema love is a two way streetYeah sure daddy, Kila mtu ana style yake ya kupenda. Na sio wanawake wote wanapenda little things kama douta hapa. Ila msitunyime bana, kudekezwa raha mweeee
Teh lakini sio excuse ya nyinyi kutotutreat na Vitu vidogo vidogo, mengine hayo ni matokeo tu. Mbona na sisi tunawacare mno but still mnachepuka, msitubanie banahua Bina damu hawapo sawa the same and equal in character, feelings,thinking and IQ bado ukaja kugegedana na fundi magari aliekusaidia siku moja tu ulipopata pancha
Mimi tena daddy, ushawahi kusikia Paulo analalamika? Ananenepeana tu, chezea mahaba ya mnyaki HahahaNimekusoma Douta..Basi na ww usiwe na mkono mfupi kwenye kutoa..wanasema love is a two way street
nimekuelewa mama lakini tukiangalia idad ya wanaume wanaocare wakateswa ni wengi zaid ya wanawake wanaojituma wakateswa Mimi mwenyewe kuna someone nilimtreat normal akalalamika nikachange nikamtreat like an egg ndo nikajuta had tukabreak upTeh lakini sio excuse ya nyinyi kukutreat na Vitu vidogo vidogo, mengine hayo ni matokeo tu. Mbona na sisi tunawacare mno but still mnachepuka, msitubanie bana
Nakuelewa vizuri sana eti, ila kuwa tu positive kwenye kila kitu. Mengine yanayotokea ni mapito tu ya ulimwengu. Wewe wifi mtreat vizuri tu bana, unless anakuzinguanimekuelewa mama lakini tukiangalia idad ya wanaume wanaocare wakateswa ni wengi zaid ya wanawake wanaojituma wakateswa Mimi mwenyewe kuna someone nilimtreat normal akalalamika nikachange nikamtreat like an egg ndo nikajuta had tukabreak up
kwel kabisa my dia to be positive ndo mpango mzma usikubali binadamu mwenzio akufanye chizi una ignore mabaya na kuvalue mazur yy mwenyewe atafeel guilty atachangeNakuelewa vizuri sana eti, ila kuwa tu positive kwenye kila kitu. Mengine yanayotokea ni mapito tu ya ulimwengu. Wewe wifi mtreat vizuri tu bana, unless anakuzingua
Exactly sweetheart. .kwel kabisa my dia to be positive ndo mpango mzma usikubali binadamu mwenzio akufanye chizi una ignore mabaya na kuvalue mazur yy mwenyewe atafeel guilty atachange
Teh teh..Haya DoutaMimi tena daddy, ushawahi kusikia Paulo analalamika? Ananenepeana tu, chezea mahaba ya mnyaki Hahaha
Nyie huwa mnawafanyia nini wanaume?Wanaume wengi mmekariri mkishatafuta hela mkanunua chakula, mavazi na malazi mmemaliza kila kitu
Sisi tunapenda attention, mtupe muda wenu na mtujali pia...usipofanya hivyo utashangaa unasaidiwa na mtu ambaye hata sio level yako na ndo utabaki kusema wanawake hawaeleweki..
Jifunzeni kubalance mambo yaende pamoja...mfn.haina maana umpe mke/mpenzi wako pesa na kumjazia mafuta kwenye gari akiwa mgonjwa aende hospital bila wewe kumsindikiza..haina maana kumpa hela akanunue nguo na wakati hata siku moja hujawahi kumwambia mke/mpenzi wangu leo umependeza jioni jiandae twende dinner....haina maana kumpa hela afu akikosea kidogo tu unampiga...haina maana mkeo anakupikia,anakufulia kila siku but hujawahi kuapreciate hata siku moja etc.
Sisi hua ni wasaidizi wenu, hiyo ndio kazi yetu kubwaNyie huwa mnawafanyia nini wanaume?
Hii ni special kwenu wakishua...sisi tunaokaa nyumba za kupanga vyumba sita wakazi 42 hayo hayawezekani....