Get your copy mate!Teh teh..Leo mtasema caring ndo mpango mzima,mgegedo waachie porno stars.....Zen kesho mnasema mwanaume bora akose pesa lakini sio uwezo kwa bed..Yani hamueleweki..kwani mna undugu na kinyonga?
Nimeanza kusoma ili niwaelewe, ndio niko page ya 1254 volume 1Hivyo vingine karibu kila mwanaume anajitahidi kuvitimiza. Hutu tuvitu tudogo tudogo mnatupuuzia sana tena especially mkishaoana. Wenzenu tunavipenda kweli
Kwani care ni lazima utumie hela daddy? Zawadi zetu kuu huzijui kwani boxer, mashati etc tehTeh teh..Mnaona mlivyo wabahili..Care za kutumia pesa hamtaki kuzisikia teh
Nimeona huu ujumbe sehemu facebook, kinachonishangaza ni jinsi wanawake wengi walivyomsifu aliyepost, Chris Mauki, na kuufurahia ujumbe. Responses za wanawake ni kwamba, hata kama unagharimia ndoa/familia kwa mahitaji yote ya msingi lakini haufanyi surprises kama vile kumnunulia mwanamke vitu vidogo vidogo kama pipi, hereni basi wewe mwanaume hufai! Ameenda mbali kwa kuonyesha kumridhisha mwanamke sio issue, kikubwa ni kumjali. Kumjali kulikosisitizwa na wanawake kwa mjibu wa comments zao ni cheap surprises!
Hawa ndio wanawake wa karne hii, wakati wewe unapambana na mambo mazito yenye tija na sustainability kwa maendeleo ya familia, yeye anakupima kama unampenda kwa kusubiria surprises za pipi, chocolate, chicken burger, etc. Hajui kwamba unaweza kuwa hata hukumbuki hayo kwa sababu maisha yanakupeleka puta ili yeye aishi maisha mazuri/standard ya kupata mahitaji yote ya msingi na kufanya maendeleo!
Ujumbe wenyewe
"
HII INAUMUHIMU KWAKO
Siumeskia wenzako wanasema mwanamke anataka mtu anayejua kufanya mapenzi? Sasa wewe wekeza muda na akili yako kujenga mwili na kutafuta mbinu za kumfurahisha mkeo kimapenzi tu wakati vitu vingine vidogo vidogo vinakushinda kuvifanya au unaviona sio vyamaana. Utaachwa na mastaili yako yasio na tija. We ujuzi umewekeza tu kwenye kuijua mechi, ukiambiwa kumjali mwenzako unatoka kapa, kumshirikisha mambo yako hujui, kumprotect dhidi ya ndugu zako huwezi, mama yako na dada zako wamekuweka kiganjani na bado unaona hilo ni sawa, akiomba umsaidie kitu kidogo unaona shida, vijizawadi na vijisapraizi navyo ndio kabisaaa umefeli. Ndugu yangu hayo maujuzi yako ya mechi peleka kwenye maonyesho saba saba, huyu dada wawatu atakushindwa mapemaaa, maana haumfai kwa kulumangia wala kwa kunywa - Chris Mauki
"
Responses za wanawake ni nyingi na zimefagilia ujumbe huu, karibu kila mmoja akimalizia na kionjo "ufundi peleka maonyesho sabasaba au veta".
Hii ni special kwenu wakishua...sisi tunaokaa nyumba za kupanga vyumba sita wakazi 42 hayo hayawezekani....Kwani care ni lazima utumie hela daddy? Zawadi zetu kuu huzijui kwani boxer, mashati etc teh
Daddy kumtumia ma mdogo text " baby nimekumiss sana, I love you so much". Jioni huyo umemchukua, bae let's go jogging, weekend mnaamua mpike wote (mjikute mnaacha mpira sasa teh), siku mashetani yako yameamka vizuri unamuandalia mama breakfast khaaaa ni sh ngapi hapo mmetumia?
Wanaume wengi mmekariri mkishatafuta hela mkanunua chakula, mavazi na malazi mmemaliza kila kitu
Sisi tunapenda attention, mtupe muda wenu na mtujali pia...usipofanya hivyo utashangaa unasaidiwa na mtu ambaye hata sio level yako na ndo utabaki kusema wanawake hawaeleweki..
Jifunzeni kubalance mambo yaende pamoja...mfn.haina maana umpe mke/mpenzi wako pesa na kumjazia mafuta kwenye gari akiwa mgonjwa aende hospital bila wewe kumsindikiza..haina maana kumpa hela akanunue nguo na wakati hata siku moja hujawahi kumwambia mke/mpenzi wangu leo umependeza jioni jiandae twende dinner....haina maana kumpa hela afu akikosea kidogo tu unampiga...haina maana mkeo anakupikia,anakufulia kila siku but hujawahi kuapreciate hata siku moja etc.
kwenye mapenzi hatuinvest bana, so we don't expect anything in return. Sometimes kuna vitu tunawafanyia simply because nyoyo zetu zinafurahia kufanya hivyo, na unaweza kuta ni Vitu ambavyo nyie mmevichukulia poa. Kuna vitu tunatamani kweli mtufanyie ila ndo hamna habari, as a result sisi tunaamua tuwafanyie nyie sasa and tunakuwa satisfiedYou want everything....money,attention,affection,A-game and everything......i guess YOU[women] offer same or more in return!!!
Hawa ni kwenda nao kijeshi tu...Huo mkitabu wote wa nnGet your copy mate!
Nimeanza kusoma ili niwaelewe, ndio niko page ya 1254 volume 1
Kwani jogging unafanyia hapo nyumbani? Kumtumia text nayo ni hadi uwe na nyumba yako? Afu si huwa una ile budget yako ya buku 10, mpeleke coco akale mihogo na mishkaki ya nyau teh. Wewe zingua tu hapaHii ni special kwenu wakishua...sisi tunaokaa nyumba za kupanga vyumba sita wakazi 42 hayo hayawezekani....
Aisee kumbe....kwenye mapenzi hatuinvest bana, so we don't expect anything in return. Sometimes kuna vitu tunawafanyia simply because nyoyo zetu zinafurahia kufanya hivyo, na unaweza kuta ni Vitu ambavyo nyie mmevichukulia poa. Kuna vitu tunatamani kweli mtufanyie ila ndo hamna habari, as a result sisi tunaamua tuwafanyie nyie sasa and tunakuwa satisfied
Unanitania wewe...nitoke tandale nikapige jogging coco! Halafu mchana kutwa nimebeba zege,kisa?!Hahaha Jitahidi tu utuelewe, ndipo utakapokuwa na amani hapo baadaye. It's not difficult to please us eti lol
Kwani jogging unafanyia hapo nyumbani? Kumtumia text nayo ni hadi uwe na nyumba yako? Afu si huwa una ile budget yako ya buku 10, mpeleke coco akale mihogo na mishkaki ya nyau teh. Wewe zingua tu hapa
Eeeh ndo ulijue hilo. So usianze kutegea hadi mwenzako akufanyie mazuri ndo na wewe umfanyie in return. Vitu vingine unafanya tu na roho yako inaridhikaAisee kumbe....
Kisa mahabaaaaaati tuUnanitania wewe...nitoke tandale nikapige jogging coco! Halafu mchana kutwa nimebeba zege,kisa?!
Anatuharibia dada zetuNimeona huu ujumbe sehemu facebook, kinachonishangaza ni jinsi wanawake wengi walivyomsifu aliyepost, Chris Mauki, na kuufurahia ujumbe. Responses za wanawake ni kwamba, hata kama unagharimia ndoa/familia kwa mahitaji yote ya msingi lakini haufanyi surprises kama vile kumnunulia mwanamke vitu vidogo vidogo kama pipi, hereni basi wewe mwanaume hufai! Ameenda mbali kwa kuonyesha kumridhisha mwanamke sio issue, kikubwa ni kumjali. Kumjali kulikosisitizwa na wanawake kwa mjibu wa comments zao ni cheap surprises!
Hawa ndio wanawake wa karne hii, wakati wewe unapambana na mambo mazito yenye tija na sustainability kwa maendeleo ya familia, yeye anakupima kama unampenda kwa kusubiria surprises za pipi, chocolate, chicken burger, etc. Hajui kwamba unaweza kuwa hata hukumbuki hayo kwa sababu maisha yanakupeleka puta ili yeye aishi maisha mazuri/standard ya kupata mahitaji yote ya msingi na kufanya maendeleo!
Ujumbe wenyewe
"
HII INAUMUHIMU KWAKO
Siumeskia wenzako wanasema mwanamke anataka mtu anayejua kufanya mapenzi? Sasa wewe wekeza muda na akili yako kujenga mwili na kutafuta mbinu za kumfurahisha mkeo kimapenzi tu wakati vitu vingine vidogo vidogo vinakushinda kuvifanya au unaviona sio vyamaana. Utaachwa na mastaili yako yasio na tija. We ujuzi umewekeza tu kwenye kuijua mechi, ukiambiwa kumjali mwenzako unatoka kapa, kumshirikisha mambo yako hujui, kumprotect dhidi ya ndugu zako huwezi, mama yako na dada zako wamekuweka kiganjani na bado unaona hilo ni sawa, akiomba umsaidie kitu kidogo unaona shida, vijizawadi na vijisapraizi navyo ndio kabisaaa umefeli. Ndugu yangu hayo maujuzi yako ya mechi peleka kwenye maonyesho saba saba, huyu dada wawatu atakushindwa mapemaaa, maana haumfai kwa kulumangia wala kwa kunywa - Chris Mauki
"
Responses za wanawake ni nyingi na zimefagilia ujumbe huu, karibu kila mmoja akimalizia na kionjo "ufundi peleka maonyesho sabasaba au veta".
Eeeh ndo ulijue hilo. So usianze kutegea hadi mwenzako akufanyie mazuri ndo na wewe umfanyie in return. Vitu vingine unafanya tu na roho yako inaridhika
aaaah love is overated!Kisa mahabaaaaaati tu
Hahaha afu watu wagumu kama wewe ndo mnakuwaga Mahabaa, Hamna cha love is overrated wala nini lol,aaaah love is overated!
Teh teh..Bora hata hivyo vidogo basi muwe mnanunua..Hamna kitu...Kwani care ni lazima utumie hela daddy? Zawadi zetu kuu huzijui kwani boxer, mashati etc teh