Ujumbe wa Dr. Chris Mauki

Mapenzi hayana formula yawe kwenye ndoa au mahusiano ya kawaida.
Unaweza kufanya surprises zote unazozijua ie weekend zanzibar, movies, holiday mombasa nk kama umpi ukuni wa kutosha siku akipata bwege akamkuna ipasavyo imekula kwako. Mwanamke anatakiwa aridhike basi japo kwa wengi ni changamoto kubwa kwakuwa huwa wanabadilika badilika.
 
Haya yote ni kazi bure kama hujamweka mke wako katika hali ya kumhofu Mungu na kuondokana na roho ya Hawa, kwani Hawa alikosa nini kwenye bustani ya eden?? Wanawake hawaeleweki kwa sababu wana ile roho ya Hawa, cha muhimu muweke mbali na shetani na kuwa delivered na roho ya Hawa ndipo utakuwa save ni kiumbe dhaifu sana we mtu katoka kwenye kaubavu kako tena ka kushoto unategemea awe strong kama wewe mwanaume??
 
Hahahaha kimsingi hamna tatizo
 
Kuna part nakubaliana na wewe.
Ufundi wa kitandani ni muhimu ila kama kwingine huwezi kubalnce kwakweli ni ngumu kuvumilia....wanaume wakituelewa mbona rahisi sana tatizo wamekariri
 
Hivi anayepostigi hizo post zake fb ni yeye au mke wake? coz naonaga post zimekaa kama mwanamke ndo kapost
 
Wanaume wengi mmekariri mkishatafuta hela mkanunua chakula, mavazi na malazi mmemaliza kila kitu

Sisi tunapenda attention, mtupe muda wenu na mtujali pia...usipofanya hivyo utashangaa unasaidiwa na mtu ambaye hata sio level yako na ndo utabaki kusema wanawake hawaeleweki..

Jifunzeni kubalance mambo yaende pamoja...mfn.haina maana umpe mke/mpenzi wako pesa na kumjazia mafuta kwenye gari akiwa mgonjwa aende hospital bila wewe kumsindikiza..haina maana kumpa hela akanunue nguo na wakati hata siku moja hujawahi kumwambia mke/mpenzi wangu leo umependeza jioni jiandae twende dinner....haina maana kumpa hela afu akikosea kidogo tu unampiga...haina maana mkeo anakupikia,anakufulia kila siku but hujawahi kuapreciate hata siku moja etc.
 
Word umemaliza kila kitu hamna cha ziada cha kuongezea
 
Kwanza heshima yako Mr mauki. Unachosema huenda ni sahihi lakini kwa jinsi maisha yanavyotupeleka puta!!! Ebu kausha kwanza usiwakumbushe itakua shida huku majumbani
 
Teh teh..Leo mtasema caring ndo mpango mzima,mgegedo waachie porno stars.....Zen kesho mnasema mwanaume bora akose pesa lakini sio uwezo kwa bed..Yani hamueleweki..kwani mna undugu na kinyonga?
 
Teh teh..Leo mtasema caring ndo mpango mzima,mgegedo waachie porno stars.....Zen kesho mnasema mwanaume bora akose pesa lakini sio uwezo kwa bed..Yani hamueleweki..kwani mna undugu na kinyonga?
Hivyo vingine karibu kila mwanaume anajitahidi kuvitimiza. Hutu tuvitu tudogo tudogo mnatupuuzia sana tena especially mkishaoana. Wenzenu tunavipenda kweli
 
Teh teh..Sijui mnatucare vipi wakati pesa zenu uwa hamtaki kabisa zitumike
Hahaha Mnataka care za hela jamani? Si mkitoka kazini mnavuliwa hadi soksi, mnabebwa kuoga eti teh, mnalishwa wenyewe
 
You want everything....money,attention,affection,A-game and everything......i guess YOU[women] offer same or more in return!!!
 
Kuna part nakubaliana na wewe.
Ufundi wa kitandani ni muhimu ila kama kwingine huwezi kubalnce kwakweli ni ngumu kuvumilia....wanaume wakituelewa mbona rahisi sana tatizo wamekariri
Tunajitahidi sana ila sio rahisi kama mnavyofikiria,tutafika tu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…