Ujumbe wa Dr. Chris Mauki

Ujumbe wa Dr. Chris Mauki

Simplicity.

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
2,636
Reaction score
1,664
Nimeona huu ujumbe sehemu facebook, kinachonishangaza ni jinsi wanawake wengi walivyomsifu aliyepost, Chris Mauki, na kuufurahia ujumbe. Responses za wanawake ni kwamba, hata kama unagharimia ndoa/familia kwa mahitaji yote ya msingi lakini haufanyi surprises kama vile kumnunulia mwanamke vitu vidogo vidogo kama pipi, hereni basi wewe mwanaume hufai! Ameenda mbali kwa kuonyesha kumridhisha mwanamke sio issue, kikubwa ni kumjali. Kumjali kulikosisitizwa na wanawake kwa mjibu wa comments zao ni cheap surprises!

Hawa ndio wanawake wa karne hii, wakati wewe unapambana na mambo mazito yenye tija na sustainability kwa maendeleo ya familia, yeye anakupima kama unampenda kwa kusubiria surprises za pipi, chocolate, chicken burger, etc.

Hajui kwamba unaweza kuwa hata hukumbuki hayo kwa sababu maisha yanakupeleka puta ili yeye aishi maisha mazuri/standard ya kupata mahitaji yote ya msingi na kufanya maendeleo!

Ujumbe wenyewe:

"HII INA UMUHIMU KWAKO

Si umeskia wenzako wanasema mwanamke anataka mtu anayejua kufanya mapenzi? Sasa wewe wekeza muda na akili yako kujenga mwili na kutafuta mbinu za kumfurahisha mkeo kimapenzi tu wakati vitu vingine vidogo vidogo vinakushinda kuvifanya au unaviona sio vya maana. Utaachwa na mastaili yako yasio na tija.

We ujuzi umewekeza tu kwenye kuijua mechi, ukiambiwa kumjali mwenzako unatoka kapa, kumshirikisha mambo yako hujui, kumprotect dhidi ya ndugu zako huwezi, mama yako na dada zako wamekuweka kiganjani na bado unaona hilo ni sawa, akiomba umsaidie kitu kidogo unaona shida, vijizawadi na vijisapraizi navyo ndio kabisaaa umefeli.

Ndugu yangu hayo maujuzi yako ya mechi peleka kwenye maonyesho saba saba, huyu dada wa watu atakushindwa mapemaaa, maana haumfai kwa kulumangia wala kwa kunywa - Chris Mauki".

Responses za wanawake ni nyingi na zimefagilia ujumbe huu, karibu kila mmoja akimalizia na kionjo "ufundi peleka maonyesho sabasaba au VETA".
 
Sioni tatizo kama wengi wao wamekubaliana naye.

Kama wewe haujakubaliana naye sioni tatizo pia.

Tatizo lako kwa huyo Chris nadhani ni hapo unaposema kuwa "anawala" sana wanawake japo mimi bado sioni tatizo akiwala kwasababu moja ya sababu za uwepo wao ni kuliwa.
 
Sioni tatizo kama wengi wao wamekubaliana naye.

Kama wewe haujakubaliana naye sioni tatizo pia.

Tatizo lako kwa huyo Chris nadhani ni hapo unaposema kuwa "anawala" sana wanawake japo mimi bado sioni tatizo akiwala kwasababu moja ya sababu za uwepo wao ni kuliwa.
Hahaha!!! uwepo wao ni .......
 
"Some little things matter the most ". It's not even hard to please us lol.

Mnaweza mkawa mnaishi kwenye nyumba nzuri, mkeo utamnunulia gari nzuri, atavaa, atakula vizuri, unampa hela ya kutosha, lakini bila ya kumfanyia vicare vidogo vidogo ataona kama hajakamilika vile. Vile vitu ambavyo nyie mnaviona vya kipuuzi, sijui vya tamthilia ndo vinavyotupa raha wenzenu. Tufanyieni tu jamani mwee, Msisahau kama sisi ni watu wa hisia sana. We want your attention, affection, appeciation etc
 
kuwaelewa wanawake ni ishu. So kila siku tujifunze hakuna namna
 
Ndugu yangu simplicity unaona! hata huku wadada wanakubaliana na hoja ya Chris.
 
Umeongea point saana chris mauki utakuta mwanaume mwengine kazi yake kukusisitiza mnaonana lini ili ale mzigo ukimwambia naomba unisaidie anasema mambo yangu hayajakaa vizuri inapita miezi lakini kutaka kuonana nawewe yupo radhi atoe chochote kile ila kukusaidia wewe hata kama unatatizo hatoi ela yake hata kidogi kila siku yeye mipango yake haijakaa vizuri.. pesa ina nafasi kubwa katika mahusiano zawadi lakini mwanaume sahivi ampe mwanamke wake zawadi anaumia roho sembuse pesa labda unashida sahau kabisa sahivi tunapenda mtu anayetujari2 kutumika tena sahivi big NOO ufundi wa kitandani peke yake hatutaki onyesha mapenzi kila sehem kuna baadhi ya wanaume hata vocha2 roho inamtoka anaona hasara
 
Ukiwa huna hela ukawa na uwezo wakununua hayo maua utaitwa mwanaume suruali Mara maua wapelekee nyuki mwanamke matunzo!!ukipata pesa za matunzo inakua mapenzio sio pesa ni kumcare mwanamke!!! Anyway viumbe wetu dhaifu hawa nikuishi nao kwa akili Kama ilivyo agizwa
 
Nimeona huu ujumbe sehemu facebook, kinachonishangaza ni jinsi wanawake wengi walivyomsifu aliyepost, Chris Mauki, na kuufurahia ujumbe. Responses za wanawake ni kwamba, hata kama unagharimia ndoa/familia kwa mahitaji yote ya msingi lakini haufanyi surprises kama vile kumnunulia mwanamke vitu vidogo vidogo kama pipi, hereni basi wewe mwanaume hufai! Ameenda mbali kwa kuonyesha kumridhisha mwanamke sio issue, kikubwa ni kumjali. Kumjali kulikosisitizwa na wanawake kwa mjibu wa comments zao ni cheap surprises!

Hawa ndio wanawake wa karne hii, wakati wewe unapambana na mambo mazito yenye tija na sustainability kwa maendeleo ya familia, yeye anakupima kama unampenda kwa kusubiria surprises za pipi, chocolate, chicken burger, etc. Hajui kwamba unaweza kuwa hata hukumbuki hayo kwa sababu maisha yanakupeleka puta ili yeye aishi maisha mazuri/standard ya kupata mahitaji yote ya msingi na kufanya maendeleo!

Ujumbe wenyewe

"
HII INAUMUHIMU KWAKO

Siumeskia wenzako wanasema mwanamke anataka mtu anayejua kufanya mapenzi? Sasa wewe wekeza muda na akili yako kujenga mwili na kutafuta mbinu za kumfurahisha mkeo kimapenzi tu wakati vitu vingine vidogo vidogo vinakushinda kuvifanya au unaviona sio vyamaana. Utaachwa na mastaili yako yasio na tija. We ujuzi umewekeza tu kwenye kuijua mechi, ukiambiwa kumjali mwenzako unatoka kapa, kumshirikisha mambo yako hujui, kumprotect dhidi ya ndugu zako huwezi, mama yako na dada zako wamekuweka kiganjani na bado unaona hilo ni sawa, akiomba umsaidie kitu kidogo unaona shida, vijizawadi na vijisapraizi navyo ndio kabisaaa umefeli. Ndugu yangu hayo maujuzi yako ya mechi peleka kwenye maonyesho saba saba, huyu dada wawatu atakushindwa mapemaaa, maana haumfai kwa kulumangia wala kwa kunywa - Chris Mauki
"
Responses za wanawake ni nyingi na zimefagilia ujumbe huu, karibu kila mmoja akimalizia na kionjo "ufundi peleka maonyesho sabasaba au veta".


Nafkiri hujamwelewa vizuri chriss. Soma maneno niliyobold ndio ujumbe wenyewe, ila kazia kwenye red!

Kama hangeweka neno "tu" ndio ungeweza kuandika hayo maoni yako hapo juu.
 
Ukiwa huna hela unadharaulika ukiwa busy kuzipata hela hawakutaki sasa nyie wadada mnataka nini has a? Toa hivyo vizawadi vidogo halafu uwe huna uwezo wa kuwafanyia makubwa.Anyway wanaume tumeumbwa mateso.

Hatujaumbiwa mateso. Mateso huwa hayaji yenyewe bila kuletwa. Kinachotakiwa ni "Balanced Diet ya Mapenzi" Kuwekeza kwenye kuridhisha tu ni sawa na mfano kula Kula chakula kingiiii kila siku bila ya mboga, matunda n.k.
 
Back
Top Bottom