Ujumbe toka Kanda ya Ziwa kwa wanaume wa Dar es salaam

Ila mi ni mhamiaji lakini ujumbe wako pamoja na kwamba umekaa kimzaha lakini ndio ukweli.
Ile siku mi nilitoka na panga linalokata kote kote nikaona vijana wanashangaa eti 'umepata wapi upanga!' nikasema pumbafuu.

dar nzima research ya mwaka jana hamna mwanaume mwenye panga.
wengi silaha yenu fb, whatsup,twita sijui wengine wanaita twira

hizo jimu nasikia ni kutafuta vifua kwa ajiri ya wanawake
 
Ila mi ni mhamiaji lakini ujumbe wako pamoja na kwamba umekaa kimzaha lakini ndio ukweli.
Ile siku mi nilitoka na panga linalokata kote kote nikaona vijana wanashangaa eti 'umepata wapi upanga!' nikasema pumbafuu.

Ha ha ha ha ah! Umenichekesha kweli! Ndugu zangu wa kitunda wakiwa na baiskeli zao huku wamefunga sime kwenye baiskeli zao huonekana washamba! Hawajui maisha ni vita na muda wowote hali inaweza chafuka! Sisi huku kama serikali ingeruhusu tumiliki siraha kabla ya kuwaza kununua viipad sijui iphone6,tungenunua kwanza siraha! Mwanaume unalala ndani eti una kisu tu cha mama watoto cha kukatia vitunguu na tena kibutu! Badilikeni bwana,ingawa nyie mngesema bhana badala ya bwana. Wazeee wa swaga!
 
Haya bwana kiongozi nimekukubali sana na maelezo yako maana na wewe pia unajikubali. Hongera sana and keep it up.,,, kujikubali ni jambo zuri. Na kuhusu maelezo yako. Am on ur side now.. So peace and love :thumbup::thumbup:

Pamoja mkuu! Hatungombani ,bali tunaelimisha kama vijana na tena kama wanaume,ulinzi unaanza sisi wananchi kwanza. Tusije ona adui tukashindwa kukabili eti tunasubilia polisi au jwtz.
 
Mkuu naona mmeamka kujibu mapigo... Una mtizamo gani kuhusu wapaka lipstick, lipshine, wafanya pedi na manicure n.k?
Hao watakuwa wazawa wa DAR wanaoishi kwenye majumba ya urithi ndio wana muda huo.....nadhani mtoa mada alichokosea ni kuandika wakazi wa DAR....angeandika wazawa........mbona sisi wageni tunawashangaa wazawa jinsi walivyo laini kama soseji...........
 
Wanaume wa dar kweli mmedhihirisha ni waoga wa kutupa.

Juzi nyinyi wenyewe ndo mlikuwa vinara wa kutangaza hofu
kuwa kuna panya-road, afu ndo wenyewe mlikuwa mstari wa mbele kufunga maduka na kukimbia hovyo hovyo hata hao panya hamjawaona.


Ni aibu sana hii kwa mwanaume. Yaani badala ya kuhamasisha wanaume wenzio mjitokeze kupambana na panyaroad, nyie ndio mnahamasisha
watu wafunge biashara wakimbie! dah aibu kweli hii.


Ulegevu huu huwezi kuukuta huku Kanda ya Ziwa maana kwenye dharula kama hiyo huwa kuna vitu vifuatavyo wanaume mlipashwa kufanya.

Kupiga yowe na kukusanyika kwenda kuwafyekelea mbali hao panya road. Sasa basi ili muwe majasiri inabidi muache mambo ya kitoto kama:

1) Kunywa kahawa na kashata na joto lote lile.

2) Achaneni na kula pweza kuleni ugali wa mhogo na sangara.

3)Vitu kama ngisi, kachori na juice ya miwa vinawafanya muwe nare nare sana.

4) Ni aibu kwa mwanaume kuweka chumvi pilipili na ndimu kwenye mahindi ya kuchoma au
kuweka chumvi kwenye embe.

5)Acheni mara moja kula ubuyu mnajidharirisha mno.

6)Komeni kuangalia tamthiliya kwenye tv.

7).muache kuvaa heleni na kupaka ina na kuongea sauti za kike.

Haya ndio baadhi ya mambo yanawafanya muwe mdebwedo wa kutupa. Mkiendelea hivi ipo panyaroad panya road watakuja kuomba wawekewe maji ya kuoga na wake zenu mchana kweupe na nyie mpo.

Jiangalieni sana...

Mheshimiwa naona kama haujaeleweka sana hapa, wanaume wa dar ni wapi hasa? Wazaliwa wa Dar au wale walioamia? Manake Umesema kukaa na kunywa kahawa kwenye joto, wakati huo huo unazungumzia kuhusu kufunga duka. Ebu naomba elezea vizuri ueleweke. Inawezekana ukawa una point ila ndo hivyo umeshindwa kuipangilia labda.
 
Kwa kweli sisi wa mikoani tutaanza kuwaoa wanaume wa dar kama mmekimbia vitoto vya miaka 19
 
huku kanda ya ziwa chips kuku ni mboga ya kulia ugali. eti dar ni chakula cha mlo....shem on you

ndo maana mji wenu umejaa waganga wa kuongeza nguvu za kiume....juice za miwa zitawamaliza
Nyie kazi yenu kuchinja albino.
 
Back
Top Bottom