Haha haaaa,naona umezidiwa kwelikweli.Wenzio wamekimbia au wanapita hapa kimyakimya maana mmepewa ukweli wenu.
MJIREKEBISHE!!!!
Kiukweli mtoa mada umetuvua nguo na kutuacha uchi kabisaaaa sio siri yani hadi naona aibu kubaki hapa
Si unajua tena kila mtu anataka aandike kitu angalau na yeye ajulikane kwamba amewatukana wanaume wa Dar. Upuuzi mtupu.hivi hao panya road walivamia dar nzima??? maanake naona hizi thread za kipuuzi za dar hamna wanaume zimejaa humu. walivamia dar nzima?? mbona mimi ninapokaa sijawaona na tulikuwa tumerelax tu tunapiga stori
Wanawake watupu...tuvaage sketi tu wote tujue moja kwamba wanaume hawapo
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kwahiyo hawa waliopo ni kina nani lol
Mmmhhh...,, kuna lingine hapa. Si bure.