Ujumbe ni mzito kwa wale wenye fikra

Babylon

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
1,332
82
Nini mtazamo wenu ?click hiyo pic ya Dada usome kilichokuwemo.
 
Attachments

  • KISURA WA WAKIBONGO.JPG
    KISURA WA WAKIBONGO.JPG
    208.7 KB · Views: 255
That is something!! lol.

Sasa wao wanaoitwa Greenwood, Smith, albion, Atwater, Water, Baline, blair, Rice, Culver, Dove, hivi haya nayo ni majina ya kujisifia!

Pole Dada Asi Munisi
 
No, ilo jina lake kwa mazingira au mtizamo wa western language, ina maana ambayo ni insulting kidogo!
Asi kama jina, ukilipronounce haina tofauti na unavyo pronounce Ass!
 
Uko right, ni vizuri kukubaliana na ukweli huo. Dada Munisi angebadilisha jina ili kuepukana na kero ya jina lake kutafsiriwa vibaya. Hata kwetu kuna majina mengine ya nje tutashindwa kukubaliana nayo na tutawaomba wayabadiluishe, kwa mfano:

(a) Kuna majina kama Kumamoto, Kumagawa, Takauchi ambayo ni ya kijapani; ni dhahiri tusingeyapenda yatumike nchini kwetu.

(b) Albert Tom ba ni jina la bingwa wa zamani wa skiing huko Italy. Binafsi sikuwa napata amani kusikia jina hili kwenye TV mbele ya familia yangu.

(c) Majina kama Kissme, Mborro, Pumbhu, Gono na kadhalika ambayo ni ya kawaida sehemu nyingine za Afrika yanaweza kutustusha
 
Wee Kichuguu, haya majina umetunga bana...hayawezekani yakawa ya kweli...Lol

Hivi kwa mfano unafundisha chuoni (UDSM), halafu unapata mgeni toka Benin au Guinea Bissau aitwaye Dr. Mborro Pumbhu. Idara yako inamuandalia sherehe ya kumkaribisha halafu wewe mwenyeji wake mkuu ndio unatakiwa useme mawili matatu ya kumtambulisha na kumkaribisha rasmi. How would you do it with a straight face without cracking and start laughing?
 
mbona mdada wa watu jina lake poa tu ukilitamka vizuri yaani a -s -i na sio a-s -s,

huyu basi tu wanamwonea tofauti na wale wanaojitafutiaga matatizo wenyewe ati mtu jina lake Dickson halafu akiulizwa anajitambulisha kama Dick which can have a vulgar meaning
 
Kuna mwaka timu ya taifa ya Ghana, Black Stars, ilikuja Tanzania kucheza na Taifa Stars kule nyumbani kwa kina Julius (alipokukimbia ili akabebe maboksi) basi mtangazaji, nadhani (forgive my impreciseness) mtangazaji alikuwa Charles Hilary, akawa anashindwa kutamka jina zima la mchezaji wao mmoja akabaki anasema 'anakwenda na mpira pale anakwenda aah jina lake ni tusi kwetu siwezi kulitamka!' Yule mchezaji alikuwa anaitwa Ablade K...
 
Wee Kichuguu, haya majina umetunga bana...hayawezekani yakawa ya kweli...Lol
Google Majina yafuatayo:

Georges Mborro
Kismi Antini
Christian M'Pumbu
Gideon Gono

Hivi kwa mfano unafundisha chuoni (UDSM), halafu unapata mgeni toka Benin au Guinea Bissau aitwaye Dr. Mborro Pumbhu. Idara yako inamuandalia sherehe ya kumkaribisha halafu wewe mwenyeji wake mkuu ndio unatakiwa useme mawili matatu ya kumtambulisha na kumkaribisha rasmi. How would you do it with a straight face without cracking and start laughing?

Kuna Rais wa Nigeria alikuwa akiitwa Babangida, watu wakamkaribisa etu tutashukuru kumwona Babangida, lakini haijulikani kwa nini hakumleta Mamangida pia?
 
Uko right, ni vizuri kukubaliana na ukweli huo. Dada Munisi angebadilisha jina ili kuepukana na kero ya jina lake kutafsiriwa vibaya. Hata kwetu kuna majina mengine ya nje tutashindwa kukubaliana nayo na tutawaomba wayabadiluishe, kwa mfano:

(a) Kuna majina kama Kumamoto, Kumagawa, Takauchi ambayo ni ya kijapani; ni dhahiri tusingeyapenda yatumike nchini kwetu.

(b) Albert Tom ba ni jina la bingwa wa zamani wa skiing huko Italy. Binafsi sikuwa napata amani kusikia jina hili kwenye TV mbele ya familia yangu.

(c) Majina kama Kissme, Mborro, Pumbhu, Gono na kadhalika ambayo ni ya kawaida sehemu nyingine za Afrika yanaweza kutustusha

Shiiiiiiii!!!!! basi bana, mbona mifano ya juu tu ilishatosha?!! Jamaa nahisi wana ka-point hivi, nilizani hawalitaki jina la munis!!! let's not always caught ourselves in the TUNADHALILISHWA na KUBAGULIWA target!!!
 
Back
Top Bottom