Ujumbe Mfupi wa Miaka 49 ya Siri ya ushindi wa CCM

Ujumbe Mfupi wa Miaka 49 ya Siri ya ushindi wa CCM

Peter Dafi

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
394
Reaction score
272
#dafitips

Ujumbe wangu mfupi kwa maadhimisho ya Miaka 49 ya CCM


View: https://youtu.be/D6wSTppiLiE?si=jq8mVBs9RbnrhbsJ

Video 👆🏿👆🏿👆🏿


Miaka 49 ya Chama Cha Mapinduzi ni ushahidi wa imani ya wananchi kwa Chama chao. Lakini ili CCM iendelee kushika Dola, lazima ibaki kuwa Chama cha kusikiliza watu, kuongoza kwa mfano, na kutanguliza maslahi ya Taifa kuliko maslahi binafsi.


View: https://www.instagram.com/reel/DUc9JeXDU63/?igsh=MTYwZjhxYzg0Zmp2cA==

Historia imetujenga, lakini uwajibikaji wa leo ndiyo dhamana ya kesho. Umoja, maadili, na utendaji ndivyo vitakavyoendeleza ushindi wa CCM.

CCM itadumu kadri itakavyobaki karibu na wananchi.

#samia #kazinaututunasongambele #kaziiendelee #samiasuluhuhassan
 
Back
Top Bottom