Ujumbe mahsusi kwa Wachungaji wenye Mabodigadi

Ujumbe mahsusi kwa Wachungaji wenye Mabodigadi

Kwa Mawazo yangu finyu...

Mleta mada upo sahihi sana kwani unampotumikia MUNGU ki ukweli niyeye pekee mwenye uwezo usio fanana na kitu chochote

Na unapoishi katika ulimwengu wa roho na kweli ulimwengu wa damu ma nyama ni ulimwengu mdogo sana kwani ukiwa umesimama kiroho sawasawa mambo yatokeayo katika ulimwengu wa nyama unafahamishwa kwa uwezo wa roho mtakatifu kwa hiyo huitaji mtu wa kukulinda kwa njia yoyote ile labda kama hatuelewi nini maana ya ulimwengu wa roho...

Ninavyoelewa mimi ulimwengu wa roho ndani ya MUNGU aliyehai ni kuishi na Roho wa MUNGU asilimia zaidi ya mia hivyo basi unapokuwa na Roho wa MUNGU basi una MUNGU kamili aishie ndani yako huyu hajapungukiwa na kitu chochote kile kwani ni MUNGU(roho mtakatifu).

Kwa kuwa na walinzi mwili(bodyguards) sidhani kama ni busara za ki MUNGU haswa tunaoini kupitia ile njia iliyokuu yaani YESU KRISTO
 
Makanisa yasiwe na walinzi ili muibe vifaa vya kanisani na kuwamwagia tindikali watumishi wa Mungu????wewe mbona unapotoka kwako huwa unafunga mlango au wewe humwamini Mungu????
Kwa mtazamo huu sasa ifike mahali sasa Makanisa yasiwe na walinzi aisee,Kwasababu biblia inasema "Bwana asipoilinda nyumba ailindaye akesha bure"...!!
 
Bodygard ni protocol za kibinadamu. wakiwa katika mazingira hayo lazima wawe na watu kuhakikisha protocol inqzingatiwa. NIKUTAARIFU TU. VITA VYA wana wa mungu si katika mwili huu bali ni vya kiroho dhidi ya shetani ambae anafanya uovu wake katika ulimwengu wa ROHO kuteketeza roho. Ukitaka kujua hili uliza agent za shetani wanawajua watumishi wa mungu moto wao.

Hapo kwenye bold unataka kunambia wao peke yao miili yao ndio mahekalu ya bwana ambayo inawindwa na muovu lakini sie tusiokuwa na bodigadi hatuwindwi?
 
Kutokana na ufinyu wa mawazo yako kila siku ukitoka nyumbani kwako hufungi mlango bali unauacha wazi kwa kuwa unamwamini Mungu atalinda nyumba yako????
Kwa Mawazo yangu finyu...

Mleta mada upo sahihi sana kwani unampotumikia MUNGU ki ukweli niyeye pekee mwenye uwezo usio fanana na kitu chochote

Na unapoishi katika ulimwengu wa roho na kweli ulimwengu wa damu ma nyama ni ulimwengu mdogo sana kwani ukiwa umesimama kiroho sawasawa mambo yatokeayo katika ulimwengu wa nyama unafahamishwa kwa uwezo wa roho mtakatifu kwa hiyo huitaji mtu wa kukulinda kwa njia yoyote ile labda kama hatuelewi nini maana ya ulimwengu wa roho...

Ninavyoelewa mimi ulimwengu wa roho ndani ya MUNGU aliyehai ni kuishi na Roho wa MUNGU asilimia zaidi ya mia hivyo basi unapokuwa na Roho wa MUNGU basi una MUNGU kamili aishie ndani yako huyu hajapungukiwa na kitu chochote kile kwani ni MUNGU(roho mtakatifu).

Kwa kuwa na walinzi mwili(bodyguards) sidhani kama ni busara za ki MUNGU haswa tunaoini kupitia ile njia iliyokuu yaani YESU KRISTO
 
Upuuzi mtupu"MADA ZINGINE ZIMEJAWA NA USHETANI MKUBWA,HIVI JAMBO LA WATUMISHI KUWA NA WALINZI NALO NI NONGWA.?.hivi HAMJUI KAMA WATUMISHI WA SASA WANAISHI MAISHA YA HATARI....??hamkumbuki YESU alikuwa na wanafunzi wake lakini hao hao ndio walikuwa Ndio walinzi wake?hivi mnadhani kuwa na Huduma kubwa ni mchezo?NASHANGAA KITU KINGINE,WATU WENGINE HAPA NI WAKATORICK,WALE AMBAO WANAMUONEA HAYA YESU,NA WENGINE WAANGLICANA,WALE AMBAO INJIRI KWAO YA YESU BADO INAYUMBAYUMBA,ETI NDIO WANACOMMENT HAPA,UPUUZI MTUPU,
 
MSIGOMBANE NYINYI KWA .NYINYI. vita vya wana wa mungu ni dhidi ya YULE MWOVU NA HILA ZAME ZA kutaka tuangamie nae.
kuweni na maarifa ktk kuenenda. mana msikute tayari mmenasa ktk mtego wa ibilisi. MUOMBENI ROHO WA MUNGU AFUNUE UFAHAMU WETU KATIKA KUELEWA BIBLE.
Siipendi iyo kauli ya USHINDWE KTK JINA LA YESU. Jina la YESU liitwapo huwa HALISHINDWI tuliitapo.
 
Sijui kwanini watu hatulitii neno la Mungu, ilhali tunaambia utii ni bora kuliko dhabihu
Hao mahubiri yao ni matoleo tu. Haya mambo ya kutoogopa ambayo bible inatutaka wafuasi wa kristo ni kwa ajili yetu na tuna yaishi tofauti na wao.
 
Kuna wachungaji na wahubiri wengi leo wanatembea na mabodigadi, hata wakiwa wanahubiri mabodigadi wanawazunguka.
Biblia inasema kwenye kitabu cha Yeremia 17:5 Bwana asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha Bwana.

HAYO SIO MANENO YANGU, NI YA MUNGU MWENYEWE

Unamsema baba yake na Nisher...! Geordavie
 
Sijui kwanini watu hatulitii neno la Mungu, ilhali tunaambia utii ni bora kuliko dhabihu

Mkuu.
Watumushi wa kweli ni lazima wawindwe.
Na kama wewe unawindwa na wakati huo hujikingi, hutatofautiana na anayechukua kamba kujinyonga.
Na juu ya hili unajua jinsi Mungu asivyopendezwa na vifo vya kihivi.
 
hapo kwenye bold unataka kunambia wao peke yao miili yao ndio mahekalu ya bwana ambayo inawindwa na muovu lakini sie tusiokuwa na bodigadi hatuwindwi?

alieshikilia bendela. Kiongoz ndio anawindwa zaidi kuliko wafuas.
 
Narudia tena Petro alikuwa mwanafunzi wa yesu na aliyetakiwa kukamatwa ni Yesu,sasa wewe nakupa kazi jiulize kwa nini Petro aliwashambulia hao Mayahudi????vitu vingine jiulize wewe mwenyewe.

una upeo mdogo sana!
 
Upuuzi mtupu"MADA ZINGINE ZIMEJAWA NA USHETANI MKUBWA,HIVI JAMBO LA WATUMISHI KUWA NA WALINZI NALO NI NONGWA.?.hivi HAMJUI KAMA WATUMISHI WA SASA WANAISHI MAISHA YA HATARI....??hamkumbuki YESU alikuwa na wanafunzi wake lakini hao hao ndio walikuwa Ndio walinzi wake?hivi mnadhani kuwa na Huduma kubwa ni mchezo?NASHANGAA KITU KINGINE,WATU WENGINE HAPA NI WAKATORICK,WALE AMBAO WANAMUONEA HAYA YESU,NA WENGINE WAANGLICANA,WALE AMBAO INJIRI KWAO YA YESU BADO INAYUMBAYUMBA,ETI NDIO WANACOMMENT HAPA,UPUUZI MTUPU,

KWELI. Ngoja na mie niweke pen chini.
 
Kutokana na ufinyu wa mawazo yako kila siku ukitoka nyumbani kwako hufungi mlango bali unauacha wazi kwa kuwa unamwamini Mungu atalinda nyumba yako????

Na Ufinyu wangu wa mawazo sijaandika kuhusu kufunga au kutofunga Mlango na Kama kufunga mlango ni ulinzi ni nyumba ngapi zinaibiwa na milango ipo..!??😃😃
 
Mkuu hoja yako ni nyepesi na nyeupe kama unga wa ngano...
 
Magaidi wameshakuwa wengi sana na watumishi wa MUNGU wamekuwa walengwa kwaenye mashambulizi yao mfano huko Zanzibar na kwingineko hivyo lazima kuchukua tahadhali na niwajibu wao kuchukua tahadhali.

Ndugu ulifikiri vzr kabla hujaandika hapo juu? Unajua wale hawahubiri SIASA wanahubiri nakuaminisha watu kuwa MUNGU nimambo yote...sasa nivipi walete walinzi au wanahubiri wasichoamini....!!
 
😱Lakini mimi.ngoja.nitafsiri tofaut kidogo na wenzangu.. Huo mstari mwshon unatoa sharti la kukwacha Bwana..... Yani una bodigadi halafu unaacha kabisa kumtegemea Mungu... Hapo Biblia yanena UMELAANIWA... lakini kama unamtumia mwanadamu katika kukulinda bila kuacha kutegemea ulinzi wa Bwana.. BasI HUJALAANIWA

hii ni sawa tu na kusafiri na basi linaloendeshwa na mwanadamu bila kumwomba Mungu awaongoze safarini. .. Umelaaniwa

lakini kama unategemea bus likufikishe kule uendako na unamwomba Mungu aiongoze safari yako Na amwongoze dereva kuwafikisha salama basi HAMJALAANIWA

lakin shida ya walimwengu wamemsahau kabisa Mungu

#kutafisiri Biblia kazi ngumu😱

Msitetee....ujinga
 
Back
Top Bottom