Echolima
JF-Expert Member
- Oct 28, 2007
- 3,824
- 2,079
Pole sana maana wewe ni kipofu wa maandiko,Biblia si kama quran unakariri unaposoma,hiki ni kitabu cha pekee angalia mtapotelea humo.
Bujibuji niongezee na Mathayo 10:28
Msiwaogope wauao mwili, wasiweze kuiua na roho; afadhali mwogopeni yule awezaye kuangamiza mwili na roho pia ktk jehanum.
Last edited by a moderator: