Ninatumai una nia njema ya kusidiana awzo katik kulitaaari hili la Watumishi wa Injili ya Mungu kuwa na walinzi 'binadamu'. Naomba nitafakari kwa akili ya kawaida kabisa.
Ulimwengu wa Roho una mambo ya kutisha sana (majini, mapepo etc) ambayo ni nadra sana kukabilika kwa nguvu za damu na nyama.
Hivi kweli mtumishi ninamtegemea apambane na mapepo saba, wachawi, majini etc anahitaji ulinzi wa mwanadamu mwenzie alievalia miwani myeusi ili amkinge na hatari za kawaida za kwenye ulimwengu wa nyama???
Nieleweshe tafadhali!