Ndo ukubwa baba....songa mbele.Achana na kibuti aisee jana tu nimekula cha mbavu hata chakula hakijapanda
Hebu tuwekee picha yake tuone je ni mzuri kweli....na anastahili kukuliza kidume....au ndio sura za kina miss chagga Khantwe Mafikizolo na Mamndenyi....???
Maana ya kucomment mara nyingi hivi ni ipi?
Hebu tuwekee picha yake tuone je ni mzuri kweli....na anastahili kukuliza kidume....au ndio sura za kina miss chagga Khantwe Mafikizolo na Mamndenyi....???
Siku nyingine wafate wabaya wenzako.....
Hao wazuri waachie wazuri wenyewe....