Ujumbe Kwa Wanawake mnaojiona wazuri

Ujumbe Kwa Wanawake mnaojiona wazuri

Pole sana Uzuri wa mwanamke ni tabia na si urembo wa nje, IF SHE CANT FULFILL UR HEART DESIRE LET HER GO!!. kama ni mapenz hata ya kukopa yapo! usitumie mda mwingi sana kufikiria hawa viumbe

they were born to be sturbon,,.but the good thing they hav never succeded to defeat a Man bcoz they were made out of our just two ribs hahahaha.
 
Duh!! ashakupa cha mbavu huyo, ko vipi umemtupilia mbali ama wangoja hadi picha lifike mwisho?..ila unajua kulalamika Mkuu hadi nimeamua nikukane, sio wanaume wote tunaumia kwa drama za wapenzi wetu,

labda mpenzi PESA akigoma kuitika ndo utaona twahangaika kumrejesha, but wanawake..
 
Kuna kazi ya nje nilikuwa napiga mwanamke wangu akaniambia namdhalilisha kwa jinsi alivyo mzuri namchanganyia na wanawake wa hovyo nikamwambia mimi ndio najua nani mzuri.wanawake wana mambo sana.
 
Mie huwa naamini kila mwanamke ni mzuri ila tunazidiana tabia ambazo ndio zinamfanya moja aonekane mzuri zaidi ya mwenzie
 
Kunawanawanawake hawana shepu ila kichwani wako very smart nawanasifa zote zakua mke bora ndani ya nyumba ila kunawanawake wanashepu lakini akilizao nindogo kama punje yahindi usiangalie sura wala makalio angalia mwanamke mwenye kukuheshim coz sura na makalio havijengi nyumba

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
ukimwona anajiona basi nawe jione mzuri. tit for tat, unambabaikia hadi unaandika thread? pole anyway!
 
Huyo anaejifanya mzuri si utumie H2SO4
 
Mie huwa naamini kila mwanamke ni mzuri ila tunazidiana tabia ambazo ndio zinamfanya moja aonekane mzuri zaidi ya mwenzie

Si kweli, kuna wanawake wanavutia sana machoni lakini wengi wao hawana sifa za kuolewa na ukimuacha kila mtu anakushangaa lakini mwanaume ndio anajuwa udhaifu wake. Nina uzoefu mkubwa na hili.
 
pole sana kwahiyo wewè na huyo dem wako wote ni kanyaboya eeh...
 
Back
Top Bottom