Beautful girls fall in love wit bad boys....be a bad boy man acha kulialia ka dem unataka kuoa dem mzur na sisi tumgonge nani aisee ni sawa na kujilimbikizia mali ufisad huo...mfano wema yule wa kuchapa sio kuoa ukioa tunakuchapia.
Siku nyingine wafate wabaya wenzako.....
Hao wazuri waachie wazuri wenyewe....
Hebu tuwekee picha yake tuone je ni mzuri kweli....na anastahili kukuliza kidume....au ndio sura za kina miss chaggaKhantweMafikizolo na Mamndenyi....???
Pole mkuu tutajumuisha kilio chako kwenye katiba mpyaa....
Onyo;
Kama sura yako ngumu na hela huna....achana na mahaba
Fanya mambo mengine....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.