Ujumbe Kwa Wanawake mnaojiona wazuri

Ujumbe Kwa Wanawake mnaojiona wazuri

Hehhee namalizia ujana afu naanza kuvaa hijb. Wakati unafanya supplimentaries kama le mutuz ntakuwa nakushangaa tu. Shauriyo

Ha ha ha wewe wacha kumchokoza huyo maana si unajua tena hachelewi kuandika page tano hapa
 
Poda na jeanz za kichina zinawadanganya saana...wanakela....ongera sana mtoa mada
 
Wewe mapenzi wewe... ntakuchapa mimi hadi utoke manundu... kwanini unamtesa mr gentleman....
 
ww mwanamke wako inaonyesha wale wanaotumia vipodozi kwa wingi, skin bleachers, wanatinda nyusi, nywele feki, kucha feki na vikuku miguu yote miwili ikiwa na maana anapiga kote kote.

Wanawake dizaini hiyo ni wakupiga na kuondoka na sio kutegemea kukaa moja kwa moja... hizo ni dalili chache za wanawake feki...
 
we hujiulizi kwanini diamond alitunga nyimbo nyingi kufariji wabigwa vibuti. wanawake wazuri ni tatizo.

Ukiwa na gari dogo analiita kiberiti na gari ikiwa haina ac anakusema vibaya na huku room kwake hana hata feni.

bella-uzuri wa mwanamke sio urembo, mwanamke ni tabia wahenga walishasema
 
Bora uwe ka Sungura sizitaki mbichi hizi
 
Halafu mwanamke wa hivyo ukipiga chini lawama zake usiombe nadhani wanafikiri wao ndo wa kuonewa tu
 
Ukijaliwa kuwa Msichana mzuri na mrembo,usidhani utatetemesha kila Mwanaume, kuna wanaume na akili zao kichwani,urembo wako hauwasumbui kama bichwa lako ni kanyaboya,uzuri wako hausaidii kitu,

na utashangaa no one is paying attention,watu utakaowapata ni walewale kanyaboya wenzako, na hawana futuretabaki unaliwa bure kila siku unatoa macho.

Ukipata mwanaume anakupenda unaanza drama zako na kupiga watu danadana,madai yako hujali na unadhani hata akiondoka utapata mwingine kisa wewe ni mzuri, la hasha Mwanaume akijitoa mhanga kukupenda kwa uzuri wako mheshimu,maana viumbe wa kike wakiwa wazuri ni shida na matatizo hakuna mtu anataka,

sasa ukimwongezea na drama pamoja na yeye kujigeuza mpalestina kwako utajikuta umeolewa na kioo cha chumbani kwako, maana hicho ndo kinakudanganya sana kwamba we ni mrembo.

Watch out drama zina mwisho, leo unacheza na mioyo ya watu unajiona we kifaa usidhani wanaume hawaumii, tunaumia
sema hatusemi tu,

Machozi yetu kama ya samaki.
Haya si ungemwambia moja kwa moja mhusika mkuu au?!
 
Mimi ukiniletea shombo nahesabu nimepiga mara ngapi natema mate kushoto halafu nafukia kulia!, kinachofuata ni kuchapa lapa.
 
Back
Top Bottom