Ujumbe kwa wanaume



Unajua Biblia imegawanyika katika Vitabu vingapi Mkuu.

Biblia imegawanyika katika Makundi matano ya Vitabu.

1. Vitabu vya Hadithi na Historia.
Hapa kuna kitabu cha Mwanzo, Hesabu, Yoshua, Wamuzi, Ruthi, Samwel1,2. Wafalme I,2. Mambo ya nyakati, Ezra na Nehemia.

2. Vitabu vya Torati
Kutoka,Mambo ya walawi na Kumbukumbu la Torati.

3. Vitabu vya Zaburi.
Zaburi ya Daudi, Mithali, Mhubiri, Wimbo uliobora na Maombolezo.

4. Vitabu vya Manabii Wadogo.
Yeremia, Isaya, Ezekiel, Yona, Obadia N.k.

5. Vitabu vya injili.
Mathayo, Marko, Luka, Yohana, Thomas, Injili ya Magnalena n.k.

Kama hujui makundi hayo ni wazi Biblia huijui.

Sio kila fungu kwenye Biblia ni Sheria. Kunatofauti kati ya Mafundisho na Sheria za Mungu. Kwa kawaida Injili ni mafundisho yanayoelezea Sheria. Pia vitabu vya Historia kama vile Mwanzo aya zake si sheria bali zinatupa ujumbe na mafundisho mbalimbali katika sheria.

Sheria inasifa ya kukataza jambo fulani. Ndio maana utakuta neno ''USI'' Usiibe, Usizini. Usiue, n.k.

Hakuna sehemu inayosema usioe mwanamke zaidi ya mmoja zaidi ya sheria inayomhusu Askofu ambaye hutakiwa kuoa mke mmoja tena bikra.

Wewe unadhani kila jambo kwenye Biblia ni sheria. Hapo utakuwa umepotoka. Sheria zipo kwenye vitabu vya Torati ambavyo ni kutoka, Mambo ya Walawi na Kumbukumbu La Torati. Sheria yoyote isiyotoka hapo ni batili. Na inachukuliwa kama Mapokeo tuu.

Nataka kusema nini hapa. Sheria haimkatazi mtu kuoa wake wengi na wala hakuna hukumu ya jambo kama hilo kwenye Biblia.

Ni kama wakristo wanavyokataza kutoa Talaka wakati Torati inaruhusu. Ni jambo baya kuipinga torati kwa kitabu kisicho cha torati.

Hata Yesu alitoa maoni na mapendekezo yake lakini sio sheria hivyo unaweza kuyafuata au usiyafuate. Mwenye Mamlaka ya kutoa sheria ni Mungu na wala si binadamu.

Hizo Aya zote ulizonukuu ni maono na mapendekezo ya hao manabii. Waislam huyaita Sunnah. Kumbuka Torati ni maneno ya Mungu moja kwa moja wala si maoni au mapendekezo au mafundisho kama ya mitume wakina Paulo au Petro au Mtume muhamad.
 
Kwa hiyo wanawake MNA MCHANGO ZERO KWENYE UCHEPUKAJI WA WANAUME?
 
Basi kumbe hata wanawake nao wanaruhusiwa kusaliti ndoa zao na kuolewa na waume zaidi ya mmoja maana biblia haijakataza si ndiyo?
 
Mimi nafikiri hii inatokana na ile nature ya mwanamme aloumbwa nayo.
Mitara.

Kupambana na nature ni kazi,ila mabadiliko ya kimazingira,kibaiolojia na kiuchumi yanasaidia baadhi kubadilika.

Zamani hakukuwa na mayai ya kisasa.
Asante binti... unajua kuna muda upuuzi wa mwanaume kwa mwanamke ni busara za hali ya juu kwa mwanaume kutokana na tofauti zetu za kiasaili na ndio maana hiki anachokihubiri mleta mada kitaendelea kuwepo mpaka mwisho wa dunia.
 
Asante binti... unajua kuna muda upuuzi wa mwanaume kwa mwanamke ni busara za hali ya juu kwa mwanaume kutokana na tofauti zetu za kiasaili na ndio maana hiki anachokihubiri mleta mada kitaendelea kuwepo mpaka mwisho wa dunia.
Yaani kumfanyia mwenzio upuuzi ni busara kwako? Ila na nyie mkifanyiwa huo huo upuuzi na wanawake zenu mnawaona wabaya
 
Sipati picha mchepuko unakuroga,mke anakuroga na mfanyakazi mwenzio naye anakuroga hili collabo lazima uwe chizi walah[emoji23].Wanaume wenye ndoa jitulizeni aisee.
 
Wanaume wenzangu niwasihi "Kamwe usiwe na Mwanamke Mmoja"
 
Yaani kumfanyia mwenzio upuuzi ni busara kwako? Ila na nyie mkifanyiwa huo huo upuuzi na wanawake zenu mnawaona wabaya
Dada unateseka sana maishani ukiwa na akili hizi za kujiona kwamba chochote anachoweza kufanya mwanaume na wewe mwanamke pia unaweza ukakifanya na bado kika sound okay.

Mwanaume achepuke na wewe uchepuke, azae mtoto nje ya ndoa na wewe mwanamke uende ukabebeshwe mimba nje ya ndoa. Siku ukiingia kwnye hii situation ndio utaamini kwamba wewe uko tofauti sana na mwanaume na huwezi ukalingana nae kwa kila kitu.
 
Kuwa tofauti na sisi haiwapi guarantee ya kufanya hayo maovu are we communicating? Halafu mbona wapo wanawake wengi tu wanafanya hayo uliyosema and it sounds okay? Tena waume zao wanaumia kabisa my friend KARMA is real huu mchezo hauhitaji hasira ukichapa na wewe utachapiwa ukiiba na wewe utaibiwa so just be humble tuwe watazamaji tu
 
Unajua ukiliangalia suala la infidelity kwa akili za kike utaona ni sawa kabisa mwanaume nachofanya na mwanamke nae ana haki ya kukifanya, ila utofauti unakuja kuonekana kwenye reaction. Jamii itakavyo react kwako wewe ni tofauti kabisa na jinsi itavyo react kwangu, yaani reaction yako itakuwa ni mbaya zaidi kuliko yangu nafikiri hata wewe mwenye unafahamu hili.

Hao wanawake wanaochepuka kama kulipiza kisasi baada ya waume zao kuchepuka jaribu kufuatilia mwisho wa mahusiano yao uone kama ni salama.. Yaani kabisa wewe ni mke wangu halafu nikuone unazunguka ndani kwangu na mimba kubwaaa ambayo nafahamu fika kabisa sio yangu halafu utegemee eti uhusiano wetu utaendelea kuwa salama..??? Dada kuna vitu unaweza ukajilinganisha na mwanaume lakini vingine huwezi hata kujaribu.
 
Hapa swala siyo kujilinganisha ila swali langu ni hili kwahiyo wanaume mnafanya maovu kwa makusudi kwa misingi ya kwamba wanawake hawawezi kuwalipizia si ndiyo?
 
Hakuna anayetakiwa kufanya infidelity kwa sababu hata maandiko yanakataza uzinzi na uasherati na hakuja jinsia iliyoruhusiwa kutenda dhambi tunaishi kwa kufuata sheria za Mungu na tutahukumiwa kwa kufuata sheria za Mungu

Na siyo mitazamo ya jamii nashangaa sana watu wanaowaza eti wakifanya hivi au wasipofanya vile jamii itawaonaje? Who is jamii? Kwani jamii ndo Mungu? Yaani eti niruhusu kikundi cha watu wenye dhambi kama mimi ndo wanihukumu kwa dhambi zangu?
 
Biblia inasema mtu atamwacha babaye na mamaye na hao wawili watakua mwili mmoja, na jingine alichokiunganisha Mungu mwanadamu asitengue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…