Hizi fatwa za akina abdallah humeyd ni nzuri wanatukataza tusibishane na watu wasiokuwa waislamu kuepusha matatizo.Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh
TUFANYE NINI PINDI TUKIKUTA COMMENTS ZA KUMTUKANA ALLAH NA MTUME WAKE AU UISLAMU KATIKA MITANDAO YA KIJAMII?
[emoji441] SHEIKH ABUL KHATWAAB ABDALLAH HUMEID حفظه الله
Naam naomba niwasilishe kile ambacho kidogo Allah alichonijaalia
Ujumbe huu mahsusi kwa watu wa mitandao.
kwenye Mitandao humu hutokea mijadala mingi inayohusu Kuuliza au kuelezea imani tofauti.
Ila sana mijadala hii huishia kwenye chuki kubwa baina ya watu ambao hata hawajuani.
Tahadhari ninayotoa kwa Ndugu zangu waislamu msipende kujadiliana na mtu ambae hataki kuelimishwa ambae amekuja kwa nia ya chuki kuhusu Uislamu wetu.
Allah anasema katika Qur'an yake
6:108.
Wala msiwatukane hao wanao waomba badala ya Mwenyezi Mungu, wasije na wao wakamtukana Mwenyezi Mungu kwa jeuri bila ya kujua. Namna hivyo tumewapambia kila umma vitendo vyao. Kisha marejeo yao yatakuwa kwa Mola wao Mlezi, naye atawaambia waliyo kuwa wakiyatenda.
Kulingana na Aya hio ni bora zaidi ukaachana na mijadala ambayo itapelekea Allah kutukanwa
Otterhound adriz FaizaFoxy
Siyo mijadala tu, hii elimu uliyotoa inapaswa izame kichwani mwao. Hii tabia ya Waislam kuleta fujo za kumpigania Mtume na Allah zinafanya nafsi zao zinaonekane kama za mchongo. Hata mtu akimtukana Allah au Mtume njie endeleeni na ratiba, waliotukanwa watachukua hatua huko waliko.Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh
TUFANYE NINI PINDI TUKIKUTA COMMENTS ZA KUMTUKANA ALLAH NA MTUME WAKE AU UISLAMU KATIKA MITANDAO YA KIJAMII?
[emoji441] SHEIKH ABUL KHATWAAB ABDALLAH HUMEID حفظه الله
Naam naomba niwasilishe kile ambacho kidogo Allah alichonijaalia
Ujumbe huu mahsusi kwa watu wa mitandao.
kwenye Mitandao humu hutokea mijadala mingi inayohusu Kuuliza au kuelezea imani tofauti.
Ila sana mijadala hii huishia kwenye chuki kubwa baina ya watu ambao hata hawajuani.
Tahadhari ninayotoa kwa Ndugu zangu waislamu msipende kujadiliana na mtu ambae hataki kuelimishwa ambae amekuja kwa nia ya chuki kuhusu Uislamu wetu.
Allah anasema katika Qur'an yake
6:108.
Wala msiwatukane hao wanao waomba badala ya Mwenyezi Mungu, wasije na wao wakamtukana Mwenyezi Mungu kwa jeuri bila ya kujua. Namna hivyo tumewapambia kila umma vitendo vyao. Kisha marejeo yao yatakuwa kwa Mola wao Mlezi, naye atawaambia waliyo kuwa wakiyatenda.
Kulingana na Aya hio ni bora zaidi ukaachana na mijadala ambayo itapelekea Allah kutukanwa
Otterhound adriz FaizaFoxy
Naona ungeisoma vizuuuuri post wala usingeandika uliyoandika hivi kakusudia kuzozana au ni matusi ya kumtusi Allah subhanahu wataala pamoja na Mtukufu wa daraja na huko ulikokusudia (RUDUUD) ushawahi kusikia wanatukana mitume naomba utenge muda wako usikilize wanayoyasema tena kwa kuweka chuki pembeni hata mimi binafsi mwanzo nilikuwa nawachukia ila baada ya kukaa na kusikiliza hoja zao Alhamdulillah nimeona usahihi uko wapiHizi fatwa za akina abdallah humeyd ni nzuri wanatukataza tusibishane na watu wasiokuwa waislamu kuepusha matatizo.
Lakini hawa akina Abdallahu humeyd,wenzie akina abuu hashim na watu wenye mrengo wa akina abul fadhli ndio vinara wa kwanza kuwasema vibaya waislamu wenzao.
uislamu gani umwkataza tusizozane na waliokufuru alafu alafu uislamu gani umeruhusu kuzozana na waislamu wenzako ?
Akina humeyd wanatakiwa wajirekebishe wao kwanza baina yao safu zao wanazoziita za kisalafy waziweke sawa wasiwe na magomvi
Then waje waweke sawa baina ya waislamu wengine wasiokuwa masalafy wasiwe na magomvi na waislamu wenzao wasiokuwa salafy.
Sio wanatuzuga kwamba tusizozane na wasiokuwa waislamu kisha wao vinara wa kuzozana na waislamu wenzao.
Umetoka kushabikia mauji wa Ukraine, ukifika humu unakifanya sijui show forgiveness !Kweli kabisa na hii ndio njia bora kabisa na mwendo wa waja wema waliiotangulia , hata mimi nimejifunza nikiona mtu haelimiki ,hana adabu na ameanzisha lugha chafu na matusi basi ni wa kumuacha tu maana vitimbi vyake haviwezi kubadilishwa chochote kile na kanuni ninayo ifuata ni hii "Show forgiveness , enjoin what is good and turn away from the ignorant (foolish) " 7:199
Mimi uzi ule naupitia mbali na nina miezi na wala sikumbuki mara ya mwisho kukomenti mule, halafu hata hayo mauaji mimi sio mshambiki wa mambo hayo na msimamo wangu ni kupinga udhalimu popote pale tokea awali .Umetoka kushabikia mauji wa Ukraine, ukifika humu unakifanya sijui show forgiveness !
[emoji1666]Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh
TUFANYE NINI PINDI TUKIKUTA COMMENTS ZA KUMTUKANA ALLAH NA MTUME WAKE AU UISLAMU KATIKA MITANDAO YA KIJAMII?
[emoji441] SHEIKH ABUL KHATWAAB ABDALLAH HUMEID حفظه الله
Naam naomba niwasilishe kile ambacho kidogo Allah alichonijaalia
Ujumbe huu mahsusi kwa watu wa mitandao.
kwenye Mitandao humu hutokea mijadala mingi inayohusu Kuuliza au kuelezea imani tofauti.
Ila sana mijadala hii huishia kwenye chuki kubwa baina ya watu ambao hata hawajuani.
Tahadhari ninayotoa kwa Ndugu zangu waislamu msipende kujadiliana na mtu ambae hataki kuelimishwa ambae amekuja kwa nia ya chuki kuhusu Uislamu wetu.
Allah anasema katika Qur'an yake
6:108.
Wala msiwatukane hao wanao waomba badala ya Mwenyezi Mungu, wasije na wao wakamtukana Mwenyezi Mungu kwa jeuri bila ya kujua. Namna hivyo tumewapambia kila umma vitendo vyao. Kisha marejeo yao yatakuwa kwa Mola wao Mlezi, naye atawaambia waliyo kuwa wakiyatenda.
Kulingana na Aya hio ni bora zaidi ukaachana na mijadala ambayo itapelekea Allah kutukanwa
Otterhound adriz FaizaFoxy
bora ya thread ni hii, huwa naumia sana kukuta mtu anaanzisha mjadala unaosababisha matusi yaelekezwe kwa allah..Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh
TUFANYE NINI PINDI TUKIKUTA COMMENTS ZA KUMTUKANA ALLAH NA MTUME WAKE AU UISLAMU KATIKA MITANDAO YA KIJAMII?
[emoji441] SHEIKH ABUL KHATWAAB ABDALLAH HUMEID حفظه الله
Naam naomba niwasilishe kile ambacho kidogo Allah alichonijaalia
Ujumbe huu mahsusi kwa watu wa mitandao.
kwenye Mitandao humu hutokea mijadala mingi inayohusu Kuuliza au kuelezea imani tofauti.
Ila sana mijadala hii huishia kwenye chuki kubwa baina ya watu ambao hata hawajuani.
Tahadhari ninayotoa kwa Ndugu zangu waislamu msipende kujadiliana na mtu ambae hataki kuelimishwa ambae amekuja kwa nia ya chuki kuhusu Uislamu wetu.
Allah anasema katika Qur'an yake
6:108.
Wala msiwatukane hao wanao waomba badala ya Mwenyezi Mungu, wasije na wao wakamtukana Mwenyezi Mungu kwa jeuri bila ya kujua. Namna hivyo tumewapambia kila umma vitendo vyao. Kisha marejeo yao yatakuwa kwa Mola wao Mlezi, naye atawaambia waliyo kuwa wakiyatenda.
Kulingana na Aya hio ni bora zaidi ukaachana na mijadala ambayo itapelekea Allah kutukanwa
Otterhound adriz FaizaFoxy
mzee wao hawasemi bali wanawabainisha walinganizi waovu na uovu wao kwasababu wanaathiri jamii na hii kazi imeamriwa katika quran unataka tulaaniwe kama wana wa israeli kwa kunyamazia maovu ya wenzao? unataka kufananisha ubainifu wa kielimu na mijadala ya jamiiforums.Hizi fatwa za akina abdallah humeyd ni nzuri wanatukataza tusibishane na watu wasiokuwa waislamu kuepusha matatizo.
Lakini hawa akina Abdallahu humeyd,wenzie akina abuu hashim na watu wenye mrengo wa akina abul fadhli ndio vinara wa kwanza kuwasema vibaya waislamu wenzao.
uislamu gani umwkataza tusizozane na waliokufuru alafu alafu uislamu gani umeruhusu kuzozana na waislamu wenzako ?
Akina humeyd wanatakiwa wajirekebishe wao kwanza baina yao safu zao wanazoziita za kisalafy waziweke sawa wasiwe na magomvi
Then waje waweke sawa baina ya waislamu wengine wasiokuwa masalafy wasiwe na magomvi na waislamu wenzao wasiokuwa salafy.
Sio wanatuzuga kwamba tusizozane na wasiokuwa waislamu kisha wao vinara wa kuzozana na waislamu wenzao.
hahaha mkuu adriz unaswali swala 5!?.Kweli kabisa na hii ndio njia bora kabisa na mwendo wa waja wema waliiotangulia , hata mimi nimejifunza nikiona mtu haelimiki ,hana adabu na ameanzisha lugha chafu na matusi basi ni wa kumuacha tu maana vitimbi vyake haviwezi kubadilishwa chochote kile na kanuni ninayo ifuata ni hii "Show forgiveness , enjoin what is good and turn away from the ignorant (foolish) " 7:199
allah akubariki kaka.Naona ungeisoma vizuuuuri post wala usingeandika uliyoandika hivi kakusudia kuzozana au ni matusi ya kumtusi Allah subhanahu wataala pamoja na Mtukufu wa daraja na huko ulikokusudia (RUDUUD) ushawahi kusikia wanatukana mitume naomba utenge muda wako usikilize wanayoyasema tena kwa kuweka chuki pembeni hata mimi binafsi mwanzo nilikuwa nawachukia ila baada ya kukaa na kusikiliza hoja zao Alhamdulillah nimeona usahihi uko wapi