miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,110
- Thread starter
-
- #101
kweli aisee mwanume anamuona hg tuafadhali umemwambia ukweli maana wanawake wengine hawajitambui huyo rafiki yako hahajajajitambua nafasi yake kama mama wa familia au nyumba ndo maana wengi wanaibiwa waume zao kwa uzembe huo ambao wanajitakia
wewe hauko hivyo?afadhali umemwambia ukweli maana wanawake wengine hawajitambui huyo rafiki yako hahajajajitambua nafasi yake kama mama wa familia au nyumba ndo maana wengi wanaibiwa waume zao kwa uzembe huo ambao wanajitakia
asante mkuu nirushie hata kalaki tigo pesa ha ahahaKweli umekuwa mama sasa, naona changes katika comments/posts zako kila nikizisoma. Naamini wake zetu watapita humu, kuna somo zito hapa...
Nipe ile namba yako nakurushia vocha..teh!!
tena kwenye tundu la choo zikianza kuzama wanalia liawatu wanalilia ndoa hawazipati wenye Nazi wanachezea!
Naomba hiyo chanceasante mkuu nirushie hata kalaki tigo pesa ha ahaha
we inabidi iwe tatuNaomba hiyo chance
pouwaHaina shida Miss chagga!
Toa contact!
Naisubiri kwa hamu sana!pouwa
hayaNaisubiri kwa hamu sana!
Huku ni "kupatwa kwa ndoa"Ukiona mtu anafuliwa hadi chupi, ujuwe kuna shida kubwa. Unafuliwa chupi na housegirl, that's so absurd!!
Chupi/boksa ni jukumu la mke na mumewe jamani khaaa!!
Kumbe una wivu eeh?Bola umemwambia ukweli mm jamaan kwanza house gal sitak kwangu utajikuta unamletea mwanaume mke wa pili kazi zangu zinanitosha
toba ilayh[emoji15] [emoji15] [emoji15] ashajijua huyoo....simu yake ina app ya jf ,, so nadhani yupo humu
mpuuzi huyoo!!kabandika kucha kuleee
yaani huwa namshangaaa
waache wapewe michepuko
Hakuna kitu kizuri kama kumfulia,kumpikia na kumhudumia mmeo kwa mikono yakoo...!kuna shogangu hapa hadi chupi za mume anafua housegirl
hata kuanua tu zikikauka hatoi kwenye kamba zitakaa hapo wee zinadondoka mapaka zinachoka
ndoa yake nae ipo hoi
me hata sinaga cha kumshauri maana ni mvivu balaa
Tafuta hela kwanza dogooNaisubiri kwa hamu sana!
Kabisa yani, ndoa hizi zina mambo sana!!Huku ni "kupatwa kwa ndoa"