Ujumbe kwa rafiki yangu

kuna shogangu hapa hadi chupi za mume anafua housegirl
hata kuanua tu zikikauka hatoi kwenye kamba zitakaa hapo wee zinadondoka mapaka zinachoka
ndoa yake nae ipo hoi
me hata sinaga cha kumshauri maana ni mvivu balaa
Huyu wangu wa humu jf, yeye hua namfulia makabati yote hata yale mengine akiwa ameyapaka rangi.
Sjui kanitengeneza kwa fundi[emoji25] [emoji25]
 
Huyu wangu wa humu jf, yeye hua namfulia makabati yote hata yale mengine akiwa ameyapaka rangi.
Sjui kanitengeneza kwa fundi[emoji25] [emoji25]
Ushapelekwa ubenazomoz wewe
 
Miss chagga kunisemea mie Wangu kwa kweli nimefurahi sana....mie nilishachokaaaa. Naomba nikupe namba yake umshukie kule insta na wasap. Jifanye kungwi wa jamii umnyee unisaidie la sivyo naanza kula beki 3 kuleta heshima nyumbani. Nishachoka mie ..argghhhhh.
 
jamani we mtumie tu huu ujumbe ajiongeze ... hii tabia siyo nzuri wao wanadhani ni sifa kuwa kama remote controller
 
huku kwa wanaume wa dar tunaanzaga alhamisi tunamalizia jumamosi .. jumpili ibada
Ndio mana akasema kuwaambia SIJARIBIWI, ALhamis yote hii, mshafunga ofisi! Mnamjaribu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…