aiseeekujifunza programming ukiwa na 25 years kuja juu na una life la kimaskini, hauna connection yoyote hapo bado unajifunza mpaka uive kaka/dada utakuwa na miaka mingapi? Alafu programming inahitaji muda kazi za kukupa msosi na malazi utafanya saa ngapi kwakuwa hauna connection na ndio unaanza, hapa huwezi fanya programming kwa aina ya maisha uliyo nayo(Age case, no money, no connection, poor surrounding etc).
Umegraduate na 25years, maskani unarudi, huna kazi ila una vyeti na ujuzi haujakaa sawa maana graduate wengi wa CS na IT ukiacha wa SE wanajifunzaga kuwa maprogrammer wakiwa wamegraduate 😀, hapo ndo utasikia title mi programmer kumbe beginner, sasa kajifunzie programming kwenu pale, mzee wako ana 60years haeleweki kiuchumi na kitabia, utashinda ndani kujifunza programming kwa miezi mitatu ya kwanza baada ya hapo utatimuliwa ukatafute kazi je ni lini utakuwa programmer wewe ?🤣
Bongo tunateswa na umaskinj, starehe na ushamba.
Umasikini:
Kuwa programmer na maisha ya kinasikini ni kazi ngumu mno, programming inahitaji utulivu ukiwa maskini huwezi pata muda wa kutulia utakufa njaa.
Ushamba:
Ushamba unaingilia sana programmer especially watu wanaokuzunguka kukuweka kitimoto kwamba haionekani ukifanya kazi kama wengine muda wote wewe na computer wao wanajua may be unatazama porn n.k, sasa wewe Kama programmer/beginner utashindwa vumilia kujifunzq
Ni vyema kutumia muda wako kujifunza ukiwa bado haijaingia kwenye majukumu.
Field ya programming kwangu mimi nasema ni ngumu kuliko zote.
Inahitaji muda, mazingira mazuri na fedha + connection
Ndiyo unasikia umempa programmer kazi kumbe umempa beginner😀 komaa
kujifunza programming ukiwa na 25 years kuja juu na una life la kimaskini, hauna connection yoyote hapo bado unajifunza mpaka uive kaka/dada utakuwa na miaka mingapi? Alafu programming inahitaji muda kazi za kukupa msosi na malazi utafanya saa ngapi kwakuwa hauna connection na ndio unaanza, hapa huwezi fanya programming kwa aina ya maisha uliyo nayo(Age case, no money, no connection, poor surrounding etc).
Umegraduate na 25years, maskani unarudi, huna kazi ila una vyeti na ujuzi haujakaa sawa maana graduate wengi wa CS na IT ukiacha wa SE wanajifunzaga kuwa maprogrammer wakiwa wamegraduate, hapo ndo utasikia title mi programmer kumbe beginner, sasa kajifunzie programming kwenu pale, mzee wako ana 60years haeleweki kiuchumi na kitabia, utashinda ndani kujifunza programming kwa miezi mitatu ya kwanza baada ya hapo utatimuliwa ukatafute kazi je ni lini utakuwa programmer wewe ?
Bongo tunateswa na umaskinj, starehe na ushamba.
Umasikini:
Kuwa programmer na maisha ya kinasikini ni kazi ngumu mno, programming inahitaji utulivu ukiwa maskini huwezi pata muda wa kutulia utakufa njaa.
Ushamba:
Ushamba unaingilia sana programmer especially watu wanaokuzunguka kukuweka kitimoto kwamba haionekani ukifanya kazi kama wengine muda wote wewe na computer wao wanajua may be unatazama porn n.k, sasa wewe Kama programmer/beginner utashindwa vumilia kujifunzq
Ni vyema kutumia muda wako kujifunza ukiwa bado haijaingia kwenye majukumu.
Field ya programming kwangu mimi nasema ni ngumu kuliko zote.
Inahitaji muda, mazingira mazuri na fedha + connection
Ndiyo unasikia umempa programmer kazi kumbe umempa beginnerkomaa
ROBERT HERIEL umepata mwenzako huku au hii ni mojawapo ya ID zako fake?kujifunza programming ukiwa na 25 years kuja juu na una life la kimaskini, hauna connection yoyote hapo bado unajifunza mpaka uive kaka/dada utakuwa na miaka mingapi? Alafu programming inahitaji muda kazi za kukupa msosi na malazi utafanya saa ngapi kwakuwa hauna connection na ndio unaanza, hapa huwezi fanya programming kwa aina ya maisha uliyo nayo(Age case, no money, no connection, poor surrounding etc).
Umegraduate na 25years, maskani unarudi, huna kazi ila una vyeti na ujuzi haujakaa sawa maana graduate wengi wa CS na IT ukiacha wa SE wanajifunzaga kuwa maprogrammer wakiwa wamegraduate 😀, hapo ndo utasikia title mi programmer kumbe beginner, sasa kajifunzie programming kwenu pale, mzee wako ana 60years haeleweki kiuchumi na kitabia, utashinda ndani kujifunza programming kwa miezi mitatu ya kwanza baada ya hapo utatimuliwa ukatafute kazi je ni lini utakuwa programmer wewe ?🤣
Bongo tunateswa na umaskinj, starehe na ushamba.
Umasikini:
Kuwa programmer na maisha ya kinasikini ni kazi ngumu mno, programming inahitaji utulivu ukiwa maskini huwezi pata muda wa kutulia utakufa njaa.
Ushamba:
Ushamba unaingilia sana programmer especially watu wanaokuzunguka kukuweka kitimoto kwamba haionekani ukifanya kazi kama wengine muda wote wewe na computer wao wanajua may be unatazama porn n.k, sasa wewe Kama programmer/beginner utashindwa vumilia kujifunzq
Ni vyema kutumia muda wako kujifunza ukiwa bado haijaingia kwenye majukumu.
Field ya programming kwangu mimi nasema ni ngumu kuliko zote.
Inahitaji muda, mazingira mazuri na fedha + connection
Ndiyo unasikia umempa programmer kazi kumbe umempa beginner😀 komaa
Kwa hio mkuu programmer ndio kazi yako kubwa hiounatazama porn
Epuka kutazama ponografia, vichekesho vilivyojaa ngono, filamu, vipindi vya televisheni (km Big Brother Naija), n.k.unatazama porn
Myself, i think this is interesting.Je! Unazungumziaje mtu anayefanya programming for fun
Aaah! Sawa mkuu nmekupataNafanya kazi nyingi sio uprogrammer tu, porn ya nini nina mke mzuri kuliko pornstar yoyote. Au nikuwekee picha
Mkuu nimependa sana hapo.mimi mtoto wangu ataanza kusoma programming kuanzia miaka 5 . nitamfundisha Java,C#,cisco,.Net,Ruby,ethical hacking,cobol,script,c++,oracle 15g ...
Na zaidi nitamfundisha forex trading na uchumi ilikujua jinsi ya kujipatia kipato.
pamoja na ujuzi wa kazi za mikono kama ufundi ,sayansi na n.k
ili kesho akifikisha miaka 25 sipati naye tabu maana sina connection za kumtafutia ajila