Ujumbe Kwa Kikwete

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
1. Simama

[mp3]http://www.jambovideos.com/bongos/08-04-08/Simama.mp3[/mp3]

2. Nikipata Nauli - Mrisho Mpoto

[mp3]http://www.jambovideos.com/bongos/NikipataNauli.mp3[/mp3]

3. All we need Africa

[mp3]http://www.jambovideos.com/Zilipendwa/All%20we%20need%20Africa.mp3[/mp3]
 
Many social movements and social transformation processes have always use music as a tool for social change. It is not only as a means of capturing struggles into words, rather it is about connecting of different people of different back grounds to be motivated and connected to the struggle. Starting from liberation struggles, there were all different songs for freedom, when we obtain independence tulimba "niko kilimani naranda, naongojea pijo kupanda, mwalimu nyerere kasema vijana fungeni mikanda."

SOngs are powerful, big up for singers and song writes who see social oppression and want to awaken citizens minds. Those songs should have more airtime, and different groups should use them in they are activities
 
Kuna hii nyimbo moja kutoka kwa Mrisho Mpoto akiwa na Banana ambayo inaelezea hali halisi ya Tanzania na jinsi uongozi wake ulivyo mbovu. Bonyeza hapo chini usikilize

[mp3]http://www.jambovideos.com/bongos/NikipataNauli.mp3[/mp3]
 
Kuna hii nyimbo moja kutoka kwa Mrisho Mpoto akiwa na Banana ambayo inaelezea hali halisi ya Tanzania na jinsi uongozi wake ulivyo mbovu. Bonyeza hapo chini usikilize

[mp3]http://www.jambovideos.com/bongos/NikipataNauli.mp3[/mp3]

Mazee........message bomba sana kwa Mjomba JK.....hawakawii kupiga marufuku hili songi......aisee.......
 
ujumbe mzito.
natumai mjomba atausikia
au ndo anangoja mpwae apate nauli.
 
Mazee........message bomba sana kwa Mjomba JK.....hawakawii kupiga marufuku hili songi......aisee.......

Mazee mwenyewe si unajua mambo yalivyo Bongo, yaani wala sitoshangaa.

Kafara,
Huyo mpwae labda aamue kutembea kwa miguu maana hali ni ngumu na kuipata nauli ni kazi kubwa.
 
Mazee........message bomba sana kwa Mjomba JK.....hawakawii kupiga marufuku hili songi......aisee.......


Hii hii Walie tu,

watapiga marufuku wap Afrika i Utube?

Tena sasa hivi wanaweka ule mtandao wa nyoka yule wa kioo(Fiberoptic cable) watajaza.

Hili kundi la vijana wanaopiga Rap music ni Bomu la machozi kwa CCM.

Leo hii wengi wanaimba kufurahisha nyoyo zao, tukiwapa chachu( hamira au baking powder) waimbe siasa za kuichambua CCM na serikali yake, CCM wenyewe watapiga nyundo sigara zao na kukoma kufuka mosh;i katika maana kwamba moto wao utazimaka milele.
 
Ujumbe umefika, saa hizi mjomba atakuwa keshavaa headphone zake anaburudika tu. Well done wote walioshiriki kwenye utunzi huu.
 
Sanaa nzuri mnoo!! straight to the point, Mr politician labda iliwachanganya, hii ina mpaka mifano live!! Mjomba asiposikia hii sipati picha atasikia nini. Go mpoto!! go banana!!
 
Nafikiri huyu mjomba anajua sana kufikisha message kwa njia hii naomba mwenye wimbo wake wa Salamu kwa Mojmba ambao aliimba wakati kikwete anaingia madarakani.

Alimpa ujumbe mzito sana kama angefuatilia maneno yaliyomo humo asingefikisha nchi katika hali hii
 
Geeque,
Mkuu sikuwezi, Mjomba kweli inabidi asukumiwe kimondo hiki..
Well, nimechungulia tu nasubiri final four unajua tena, ndio habari ya leo..
 
Huyu jamaa yupo juu sana, yaani katika fasihi simulizi nafikiri huyu jamaa atakuwa ni miongoni mwa wasanii wachache sana bongo ambao kila nikisikia nyimbo zao huwa napata ujumbe mzuri sana.

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=aiuEmI2i2rw"]Youtube-Nikipata Nauli[/ame]
 
Ya imetulia. Lakini kama ni ushauri au ujumbe kila siku anapata. anyway labda kwakuwa ujumbe huu niwakimziki labda utamuingia zaidi
 
duh.. sijatoa machozi siku nyingi; hii imeniliza kwani imegusa kabisa hisia zangu. Itabidi na mimi nimuandikie barua mjomba. Sasa sijui ni yupi yule wa Ulaya au huyu wa wakijijini.
 
Back
Top Bottom