Ujumbe kwa Hajar

Ujumbe kwa Hajar

Aisee, nimekumbuka ule uzi wa Putin akika alisema ukweli.
 
Hahahaaaaaa. Kumbuka tu shoga angu.

Ujue kiuhalisia huwezi sema unaye mtu tayari halafu uanzishiwe uzi useme sina yaani utaonekana bonge la mjinga. Mie naona kuanzishiwa uzi siku zote hakuzuwii mtu kuzungumza ukweli wake.

Pia huenda ikawa mleta uzi kashindwa kuingia kule kwa Waziri Mkuu sababu nimekufunga na makufuli hivyo kaamua kuja kufungukia huku labda huenda angebahatika. Teh
 
Hahahaaaaa. Yaaani naishia kucheka tu.

Sababu huwezi amini sijawahi ona hii id ya mikononyuma ujue hivyo nimejikuta napata mshangao kamjuaje Hajar.
Itakuwa fake ID...may be kesho atakuja kivingine.
 
Back
Top Bottom