hahha siunamjuaee
Kwan emmy hayupo?Huyu Hajar mwandiko wake unafanana na wa emmyta.
Zimetembea like za maanahahha siunamjuaee


Hahahaa. DuuhNaomba ushenga....
Mmh. Pole.Huyo mwanaume tatizo unakurupuka kuangalia ID![]()
![]()
![]()
![]()
sinilikwambia yaan dada angu huyu kwa like tu hana choyo nazoZimetembea like za maana![]()
Hahahaa. Duuh
Na kweli sababu sio kwa kunipa uanaume huo. Hajar na uanaume wapi na wapi.Mtake radhi shemeji yangu aise.
Mambo yako leo shogaa?!Hahahaaa. Nshakuja mwaya.
Hahahaaa. Nimeshapita rafiki yangu kipenzi.Dada angu kipenzi msiri wangu mwandani wangu Hajar pitia huku

Hahahaa. Mie nakusalimia rafiki.
