Nacho cha Ruwa
Member
- Jul 10, 2009
- 31
- 1
Wadau nimepokea sms katika simu yngu yenye ujumbe ufuatao!
"Call for free your number has been selected to win 50000$ call us 02698010629 now this is your chance"
sender:+2698010629
sent:
7-May-2012
11:45:07
Nimesita kupiga kwa sababu naamini ni utapeli,sasa ninachouliza kwa haya makampuni ya simu za viganjani hawawezi kuwafuatilia hawa watu kwa kushirikiana na vyombo vya dola? Ni usumbufu mkubwa kwa wateja.