BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 8,511
- 21,593
WE SUKUMA GANG UPO?Why don't you mind your own business?
WE SUKUMA GANG UPO?Why don't you mind your own business?
Kama yanafanyika faraghani inakuaje sisi wa nje tunajua mambo yaoUzuri ni kwamba Haya mambo yanafanyika faraghani! Ivi kama wazazi wanaingiana kinyume na maumbile wakiwa fararagha watoto wana cha kuiga kweli Hapo
Ni ufukunyuzi wetu ila kusema kwamba unaweza kujua au kujua kuna madhara hapana . Lakini pia tusisahau kuwa vile hakuwapotezei ubinaadamu wao je itakuwaje siku tukianza kutafuta watu wafupi, wanawake wenye ndevu na wanaume wenye makalio makubwa!?? Ili tuwaue hii itakuwaje itakuwa sawa siku tukitafuta wanaume wasiokuwa na nguvu za kiume ili tuwalazimishe wawaingilie wake zao?Kama yanafanyika faraghani inakuaje sisi wa nje tunajua mambo yao
Mange kadoda naye wallahHivi mpaka sasa bado kuna watu wanamfuatilia?
Genius , Critical Thinker, Having More than An Eagle [emoji102] eye. Direct and Open and Freeman.Ana hoja Tena kubwa
Ushoga ni trick inayoratibiwa na. CCM ili kututoa kwenye reli f*ck of Ccm leteni ripot Mpya za Bei ya Sukari na Mchele na wizi wa Ccm CAG
Kwa kuongeza wala watoa mimba, wavunja ndoa za watu nk.Kama wangekuwa wamesababishiwa na wengine kuwa na hali hiyo kwa nini wajinasibu kwenye mitandao sasa? Si wangepambana kujiponya kuliko kuonesha waziwazo kuwa wanapenda huo uchafu. Kiasi cha kuambukiza ushetani huo kwa vijana wengine.wanaotetea huu ujinga wanajitakia kufa tu kwa kutetea uchafu huu. Maana safari hii haponi shoga, basha, msagaji wala watetezi wao. MUNGU hadhihakiwi
Shoga akipelekwa jela nini mayokeo yake?Kwa hiyo mnataka nini?
Je, mnataka waachwe tu waendelee na kazi ya ushoga?!