Ujumbe kutoka kwa mange kimambi

Ujumbe kutoka kwa mange kimambi

Ana hoja Tena kubwa
Ushoga ni trick inayoratibiwa na. CCM ili kututoa kwenye reli f*ck of Ccm leteni ripot Mpya za Bei ya Sukari na Mchele na wizi wa Ccm CAG
CCM ipo Uganda?
CCM ipo Ghana?
CCM ipo Russia?
CCM ipo kote huko ushoga unakopigwa Vita?
Ushoga ni tatizo linalohitaji ufumbuzi, next 100 tutatukwa na Negative growth ya Population kama vijana wataendelea kukoboana na Kusagana.
Msio na akili mnawaza leo na kesho, mle chipsi mlale.
 
Kuna wanaume wanazaliwa na homen za kike zilizo zidi wengine wanaweza kujicontrol ila kuna wengine hawawezi kwhiyo uzama humo

Lakini kuna mtu kama juma lokole yeye alikuwa na familia kabisa na zaid akawa na mtoto lakini tamaa za hapa mjini zimemfanya atelekeze mke ili naye akawe mke na sijui kwanini mama wa huyo mtoto anamuachia akae na baba yake ili hali bana yake michezo anayo fanya ni yaajabu hawa ndio watu wanaotakiwa kupewa adhabu kali haswa
 
“Hey guys, Good News, Noel @noelgiotz na Kevin Events wameachiwa na wako huru sasa…. Na wengineo waliokuwa wanashikiliwa pia wameachiwa.
.
Watanzania ambao mnapinga ushoga ila mnataka zichukulie njia sahihi za kudili nna ushoga na sio kuwafanyia unyama hawa watanzania wenzetu basi tuendelee kupambana…
.
Ukisikia huko kijana yoyote kakamatwa na kufanyiwa unyama na polisi, tafadhali naomba unileteee jina lake kamili, picha na maelezo yote ya kesi yake niposti humu ili dunia ijue haki za binadamu zinavyokiukwa Tanzania sababu ya mihemko ya kisiasa.
.
Tupambane na chanzo cha tatizo na sio matokeo ya tatizo… Hawa vijana tumewazaaa wenyewe sisi wanawake kwanini tulishindwa kuwalinda ? Walifanyiwa unyama wakiwa watoto na leo sisi mama zao tunashadadia wafanyiwe tena unyama na serikali yetu. Hapana hii sio njia sahihi.
.
Serikali inawachukua vijana inaenda kuwabaka kwa vidole kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa madai ya kuwapima? Hiyo ni sexual assault, huo ni udhalilishaji, huo ni ukiukwaji wa haki za binadamu. Hivi unampanuaje binadamu mwenzio makalio kinguvu na kumwingizia vidole then udai unampima?? Kuna todauti gani kati ya mjomba aliemfanyia unyama huu akiwa mtoto na serikali inayomfanyia unyama huu ukubwani?? Hii haikubalikiiiiiii.
.
Dr. Janabi kweli unakubaliana na hili la madaktari wako hapo Muhimbili kuingizia vijana vidole kinguvu kwa madai ya kuwapima? Dr. Janabi wewe umesoma nje unazijua haki za binadamu, inakuwaje unaruhu hospitali unayoiongoza ifanyie watu unyama huu? Then next week utakuwa nchi za Magharibi huko unajiongelesha kwenye mikutano na wakati huku Africa unawabaka vijana wa kiTanzania kinguvu kwa madai ya kwamba unawapima kama ni mashoga. Next time ukienda kuomba Visa ujieleze kuwa unaongoza hospitali inayowaingilia vijana wa kitanzania kinguvu kwa vidole ili uisaidie polisi ku prove ni mashoga. Unachokifanya ni unyama na ukiukwaji wa haki za binadamu”

NB: nimenukuu
Mange huyu na Shangazi Waislamu? Kweli Waislamu wa kweli tumebaki wachache sana.
 
CCM ipo Uganda?
CCM ipo Ghana?
CCM ipo Russia?
CCM ipo kote huko ushoga unakopigwa Vita?
Ushoga ni tatizo linalohitaji ufumbuzi, next 100 tutatukwa na Negative growth ya Population kama vijana wataendelea kukoboana na Kusagana.
Msio na akili mnawaza leo na kesho, mle chipsi mlale.
Siku hizi vijana wanawapeleka mabinti kwao kwenda kufanya nao ngono (hakuna habari za lodge/hotel) maana kijana ukionekana upo upo tu unazushiwa skendo za ajabu ajabu watasema wewe ni shoga km walikuepo wakati unaf-rwa
 
Kuna wanaume wanazaliwa na homen za kike zilizo zidi wengine wanaweza kujicontrol ila kuna wengine hawawezi kwhiyo uzama humo

Lakini kuna mtu kama juma lokole yeye alikuwa na familia kabisa na zaid akawa na mtoto lakini tamaa za hapa mjini zimemfanya atelekeze mke ili naye akawe mke na sijui kwanini mama wa huyo mtoto anamuachia akae na baba yake ili hali bana yake michezo anayo fanya ni yaajabu hawa ndio watu wanaotakiwa kupewa adhabu kali haswa
Weka picha ya juma lokole
 
Back
Top Bottom