Ujumbe "kuntu" kwa majirani zetu wote

Kujaribu kuzoa maji baada ya kumwagika.
Hao kumi na mmoja waliouliwa si watz?
Sasa ulitaka POLISI wetu waje na hapo Nairobi ili kuwalinda watanzania wanaoishi na kufanya biashara, jukumu la kuwalinda ni la nchi husika, ila mkiwadhuru tutajua mumeshindwa kuwalinda, hapo lazima tutakuja kuwawajibisha wahusika wote.
 
Umesema 'popote walipo' .Mbona mlishindwa kuwalinda hao waliokuwa msumbiji? Mnadhani magaidi ni kama wezi wa kuku? Hebu acheni kujisifia. Udhaifu wenu unajulikana duniani kote.
 
Akili yako ninawasiwasi nayo, umeanza kuzeeka siku hizi, msikilize vizuri IGP anachokizungumza, anasema hivi, " Yeyote atakayemuua au kumdhuru mtanzania popote pale alipo". Sisi hatutokuja Nairobi au Msumbiji kama watanzania hawajaguswa, ila hao waliowauwa watanzania huko Msumbiji, lazima tuende kuwatafuta,.

Endapo wakenya mtawagusa watanzania hapo Gikombaa, lazima tutakuja kuwashikisha adabu. Uzuri ni kwamba GoK inafahamu vizuri sana uimara wa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, ndio sababu Tanzania ilipomuita balozi wa Kenya kuja kutoa Maelezo kufuatia kauli ya Jaguar, GoK iliangaika sana kuhakikisha ina "impress" serikali ya Tanzania.
 
Sasa ulitaka POLISI wetu waje na hapo Nairobi ili kuwalinda watanzania wanaoishi na kufanya biashara, jukumu la kuwalinda ni la nchi husika, ila mkiwadhuru tutajua mumeshindwa kuwalinda, hapo lazima tutakuja kuwawajibisha wahusika wote.
Kenya sio choo eti mtakuja kuwajibisha watu huku. Vukeni mipaka muone kitakachofuata.
 
Akili yako ninawasiwasi nayo, umeanza kuzeeka siku hizi, msikilize vizuri IGP anachokizungumza, anasema hivi, " Yeyote atakayemuua au kumdhuru mtanzania popote pale alipo". Sisi hatutokuja Nairobi au Msumbiji kama watanzania hawajaguswa, ila hao waliowauwa watanzania huko Msumbiji, lazima tuende kuwatafuta,.
Endapo wakenya mtawagusa watanzania hapo Gikombaa, lazima tutakuja kuwashikisha adabu. Uzuri ni kwamba GoK inafahamu vizuri sana uimara wa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, ndio sababu Tanzania ilipomuita balozi wa Kenya kuja kutoa Maelezo kufuatia kauli ya Jaguar, GoK iliangaika sana kuhakikisha ina "impress" serikali ya Tanzania.
Wala wali waje kupigana na wanaokula ugali? Mtatandikwa hadi mjinyee. Matusi mliyozoea hayatawasaidia kupunguza maumivu
 
Kwahiyo hata kulinda mipaka yenu ili wasiingie nchini kwenu pia mumeshindwa?, hata kulinda kambi za KDF huko Somalia pia hamuwezi?.
Unafaa ufahamu kwamba, sio mtu mwenye uraia wa Somalia ndiye gaidi pekee. Kunao shababu tokea Tz, Ug, UK, na hata Kenya.. Mipaka ikifungwa je wale shababu Wakenya na Watz nk waliopo ndani ya Kenya? Tena watu wa kawaida sana huwezi washuku. Unafikiri vita dhidi ya ugaidi ni rahisi mkuu? 😂
 
Unafaa ufahamu kwamba, sio mtu mwenye uraia wa Somalia ndiye gaidi pekee. Kunao shababu tokea Tz, Ug, UK, na hata Kenya.. Mipaka ikifungwa je wale shababu Wakenya na Watz nk waliopo ndani ya Kenya? Tena watu wa kawaida sana huwezi washuku. Unafikiri vita dhidi ya ugaidi ni rahisi mkuu?
90% ya terrorists wanaofanya attacks hapo Kenya ni wakenya, sponsored by GoK kuwashambulia wapinzani wao
 
Back
Top Bottom