Ujumbe huu wa Makonda unamlenga nani?

Ujumbe huu wa Makonda unamlenga nani?

Ni ushamba tu ,dunia ni moja kuna rais sio mkuu wa mkoa alitunguliwa kwenye parade ya kumsifu.ni miaka ambayo Tanganyika ya NYerere ilishakuwa huru na Si stori za MUsa wa ISrael

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaa, amekimbia hadi amepitiliza ila tuendelee kumkumbusha tu, mwengine walimkata masikio akiwa hai. Dar haikuanza leo na mwisho sio mwisho wa uongozi wake, wamepita watu wenye nguvu na umri pia ila mda ukawaamulia. Asijisahau...
 
Kwenye hio clip anasema
" La nne ni kwa wale ambao mnafikiri mna vyeo vikubwa kuliko mimi, mjifunze kuwa na nidhamu kidogo nawazidi vitu vingi sana na hatulingani. Unaweza ukawa tunalingana kwa umri tumekuwa pamoja ba tumesoma pamoja lakini NAKUZIDI SANAA, kwa hio kidogo uwe na nidhu na wakubwa zako wananitambua."
Mwisho wa kunukuu.
Sasa swali langu ni kuwa huu ujumbe umemlenga nani?
umemlenga mabeho
 
subiri tujiandae kuteuliwa kesho....
 
hivi mazoezi ya kujitayarisha kwa ajili ya uteuzi ni pushups ngapi? nauliza tu maana nataka nianze kufanya
 
1062303

Angelikodisha ningekuwa wa kwanza kulikodi.
 
Precisely, anakera sana. Maneno yake yana ukakasi kuyasikiliza, ni mtu mjivuni anayedhani atakuwa hapo alipo siku zote.
Maskini akipata. Yeye kapewa u informer tu anaona ni mkurugenzi wa tiss. Time will tell. Akipata nafasi mwambieni amuulize Mwakyembe kilichomsibu hadi kwenda kuponea India.

Sura ya Mwakyembe ilitisha hadi wapiga picha walishindwa kumpiga picha pale eapot akiwa anakwenda India
 
Kwenye hio clip anasema
" La nne ni kwa wale ambao mnafikiri mna vyeo vikubwa kuliko mimi, mjifunze kuwa na nidhamu kidogo nawazidi vitu vingi sana na hatulingani. Unaweza ukawa tunalingana kwa umri tumekuwa pamoja ba tumesoma pamoja lakini NAKUZIDI SANAA, kwa hio kidogo uwe na nidhu na wakubwa zako wananitambua."
Mwisho wa kunukuu.
Sasa swali langu ni kuwa huu ujumbe umemlenga nani?
Anawajibu wasanii
 
Anamsema HK Hivi huyu Makonda amemzidi nini HK, HK ni doctor ukitoa uwaziri je Paulo Makonda ukitoa ukuu wa mkoa ni nani? ili li Paulo sijui likoje eti limewazidi sana kwa kipi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeiona, huyu dogo bwana. Hizi ni akili za masikini aliyepata pesa uzeeni. Pathetic kabisa!!!
anajaribi kufuta historia yake ila tech na mungu hawadanganyi
 
Anamsema Hk ivi huyu makonda amemzidi nini HK,HK ni doctor ukitoa uwaziri je Paulo makonda ukitoa ukuu wa mkoa ni nani???ili li Paulo cjui likoje eti limewazidi sana kwa kipi...

Sent using Jamii Forums mobile app
umasikini ni kufikiri kuwa ukiwa na vitu na unawazidi watu wengi basi umemaliza huwiii
 
Back
Top Bottom