Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,096
[emoji23][emoji23]Amewazidi ndiyo kwani uongo!!? Kwa hipsi tu hawampati tko kama lote nani kama yeye [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23]Amewazidi ndiyo kwani uongo!!? Kwa hipsi tu hawampati tko kama lote nani kama yeye [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo amemlenga Makamba baada ya Makonda kumzalilisha Pierre, Makamba aliandika post ya kutofurahishwa na kitendo hichoSio. Anamuongelea mtu fulani anayemzidi cheo. Kama sio waziri fulani....mnh...sijui!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Du manula kalitolea macho angeliwahi kabla yakoView attachment 1062303
Angelikodisha ningekuwa wa kwanza kulikodi.
Manula anauangalia mzigonkwa uchu..View attachment 1062303
Angelikodisha ningekuwa wa kwanza kulikodi.
Hahaa.. Na masabuli ya kulia mbwata anayo kweli kweli!!Kweli mababu zetu waliona mbali sana hasa kwenye ule msemo wa masikini akipata masabuli hulia mbwata.
Naizimia zaidi verse ya 3
Ukiona swala anatamba sana msituni ujue mfalme wa nyika ndio bahasha wake.Huyu bwana mdogo kampa nini Jiwe!
Sent from my iPhone using Tapatalk
View attachment 1062303
Angelikodisha ningekuwa wa kwanza kulikodi.
Hao wawili ndiyo wanaodhani wana vyeo vikubwa kuliko yeye RC?Hayo mawe aliwapiga JB na Nikiwapili siku wametoa maoni yao ya kumgusa mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilkuwa kipindi katoa kauli ya dharau kwa piere likwidi kuna mawaziri kama makamba na kigwangwalla walimjia juuUjumbe ulikuwa kwa Lugola, au?