Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
Hivi nyie wezi wa rasilimali za nchi mlitaka magufuli awachekee tu kisa hajui kesho itakuwa nani. Nchi ulikuwa imejaa wezi kila kono. Hata Dr bana siku hizi kakaa kimya mana miladi hewa ndo ulikuwa inamfanya kuifagilia sana ccm kwa kila jambo sasa imekata na yeye kachanganyikuwa pia. Magufuli usiteteleke huku mtaani tunaheshimiana sana na usawa umekuja na pia heshima ya wasomi imerudi. Zamani MTU anaungaunga elimu baada ya mda unamkuta crdb kisa ni mchaga na managing director ni mchaga.
Hata udsm kulikuwa kuna uchaga sana ili uwe lecturer hata kama una GPA ya ajabu lakini ukiwa mchaga tu ni kupigiana pasi. Ndo mana mmechanganyikiwa baada ya dili zenu za hivyo kugoma
Vipi[emoji570] [emoji570] [emoji570] [emoji570] [emoji570]Hajaiba ndo mana yuko serious na kudeal na vibaka mliotufisha hapa tulipo. Magufuli songa mbele sisi tunakuelewa Ila wapigaji hawawezi kukuelewa never. Kila kona ulikuwa ni deal tu. Utashangaa mhsibu akiajiliwa mwaka mmoja ana BMW na nyumba. Wizi ulikuwa umetamalaki. Siyo wewe tu uliyechanganyikiwa hata wabunge mwezi na wa madeal kama akina zitto na mnyika wa me cha gani kuwa pia
Yeye hakuiba rasilimali za umma tangu enzi za Mkapa hadi za Kikwete?
Hivi nyie wezi wa rasilimali za nchi mlitaka magufuli awachekee tu kisa hajui kesho itakuwa nani. Nchi ulikuwa imejaa wezi kila kono. Hata Dr bana siku hizi kakaa kimya mana miladi hewa ndo ulikuwa inamfanya kuifagilia sana ccm kwa kila jambo sasa imekata na yeye kachanganyikuwa pia. Magufuli usiteteleke huku mtaani tunaheshimiana sana na usawa umekuja na pia heshima ya wasomi imerudi. Zamani MTU anaungaunga elimu baada ya mda unamkuta crdb kisa ni mchaga na managing director ni mchaga.
Hata udsm kulikuwa kuna uchaga sana ili uwe lecturer hata kama una GPA ya ajabu lakini ukiwa mchaga tu ni kupigiana pasi. Ndo mana mmechanganyikiwa baada ya dili zenu za hivyo kugoma
siku ukianza kutumia kichwa chwko kwakufikiri the whole world will be proudHajaiba ndo mana yuko serious na kudeal na vibaka mliotufisha hapa tulipo. Magufuli songa mbele sisi tunakuelewa Ila wapigaji hawawezi kukuelewa never. Kila kona ulikuwa ni deal tu. Utashangaa mhsibu akiajiliwa mwaka mmoja ana BMW na nyumba. Wizi ulikuwa umetamalaki. Siyo wewe tu uliyechanganyikiwa hata wabunge mwezi na wa madeal kama akina zitto na mnyika wa me cha gani kuwa pia
Acha mzaha huo!Hajaiba ndo mana yuko serious na kudeal na vibaka mliotufisha hapa tulipo. Magufuli songa mbele sisi tunakuelewa Ila wapigaji hawawezi kukuelewa never. Kila kona ulikuwa ni deal tu. Utashangaa mhsibu akiajiliwa mwaka mmoja ana BMW na nyumba. Wizi ulikuwa umetamalaki. Siyo wewe tu uliyechanganyikiwa hata wabunge mwezi na wa madeal kama akina zitto na mnyika wa me cha gani kuwa pia
Umenena kweli Lowasa Chadema walimtukana na kumwita fisadi leo ndio bosi wao anaongoza Chama
Ujumbe mzuri ila kwani ni lipi baya amefanya ukiacha piga sim clouds? Mm nadhani tuzidi kumuombea anafanya kazi nzuri jamaniNANI AIJUAYE KESHO ?
[emoji117]Mwaka 1985 Huko Nigeria, Dasuki alimkamata Buhari.
[emoji117]Mwaka 2016, Buhari alimkamata Dasuki.
[emoji117]Mwaka 1995, Al Mustapha alimkamata Obasanjo kwa amri ya General Abacha.
[emoji117]Mwaka 1999, Obasanjo alimkamata Al Mustapha na kufungwa jela kwa miaka 8.
[emoji117]Mwaka 2005 nchini Spain, Diego Simeone alikuwa chini ya Fernando Torres. Torres alikuwa nahodha wa timu licha ya kuwa mdogo mbali kuliko Simeone; lakini alifanya kile Torres amemuamuru.
[emoji117]Mwaka 2016, Diego Simeone sasa ni kocha wa Fernando Torres. Torres sasa anafuata amri kutoka kwa Simeone.
[emoji117]Miaka ya 90 chini ya Serikali ya Rawlings Dk Spio Gabriel alikuwa waziri wa mawasiliano na John Mahama alikuwa makamu wake.
[emoji117]Leo John Mahama ni Rais na amemuajiri bosi wake wa zamani kama waziri.
[emoji117]Maisha ni kama sarafu iliyorushwa juu hewani. Kwa kweli huwezi tabiri upande itakayo angukia.
[emoji117]Hakuna mtu anakaa juu milele. Ni suala tu la muda na Msimu.
[emoji117]Yule Mtu uliyemdharau / kuwadharau / kuwatendea kama uchafu na kujifanya kama Mungu kwake leo, anaweza kuwa na udhibiti/kuendesha maisha yako /Elimu au kuokoa kichwa chako kesho. Hakuna aijuaye Kesho!.
[emoji117]Mtendee kila mtu kwa heshima na kuonesha baadhi ya wema kwa sababu siku zote kutakuwa na kesho. Kuwa mwema kwa wote.
[emoji117]Mtu Mkubwa au Tajiri leo, anaweza kuwa Chini au maskini kesho kwa sababu hakuna kitu cha milele katika maisha.
[emoji117] DAIMA TUMIA MADARAKA NA NAFASI YAKO kwa uangalifu na kwa faida ya wote.
[emoji117]Daima simamia kwenye kile kilicho cha haki, na halali.
Kama Mugabe alivyosema: *"Tumia kila upande wa taulo kwa uangalifu kwa sababu sehemu hiyo hiyo iliyotumika katika kusafisha matako yako leo, inaweza kuwa sehemu hiyo hiyo utatumia katika kusafisha uso wako kesho."*
TUKUMBUKE KWAMBA.
MATENDO BILA FADHILA NI BURE , KUSUDIO LETU KUU KATIKA MAISHA NI KUWASAIDIA WENGINE NA KAMA HUWEZI KUWASAIDIA, ANGALAU USIWAUMIZE.
@ Justin Mwanshinga
Labda tu kama pua zake zinatizama juuuuuMwenzio anajiandaa kuwa raisi wa malaika halafu wewe unamtabiria kushuka tena?!
mnyika lissu halima lema etc walimtukana edo sasa wamefyata mikia. hata mbowe alimtukana sasa amefyata mkia baada ya kumuuzia edo chama. yes aliye juu mngojeeUmenena kweli Lowasa Chadema walimtukana na kumwita fisadi leo ndio bosi wao anaongoza Chama
Ali ni mpuuzi tu kama weweKichekesho ni pale alipohamia cdm ukahamia naye, ulipofika ukakuta huna nafasi ya kukaa mbele ali akupe fungu la shughuli mbalimbali. Ukaamua kurudi ccm kwani njaa ilikuwa imekukamata, tatizo huko ulikorudi ni wale ng'ombe waliokatwa mkia. Bisha tuvute post zako ulizohama nazo na Lowassa kwenda cdm na post ulizorudi nazo ccm. Acha siasa za kipuuzi dogo.
Ungekua jirani ningekupiga na hii chupa ya bia hapa (maana stress mpaka bia haileweshi) hujui unalolisema au unaishi kwake hali ilivyo huku nje huioniUjumbe mzuri ila kwani ni lipi baya amefanya ukiacha piga sim clouds? Mm nadhani tuzidi kumuombea anafanya kazi nzuri jamani
Ali ni mpuuzi tu kama wewe
Hivi ndio heri ya mwaka mpya ilivyokuwa?
SSM.wrote ni wezi.....