GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,709
- 109,146
Tuweni wa kweli na wawazi ili tuweze kusonga mbele, kwenye kile kikundi kinachoitwa Timu ya Taifa, ni kiasi gani Taifa limefanya investment pale? Utakuta ni Zero, hatuna Academy, hatuna UMISETA, UMITASHUTA, MICHEZO YA MASHIRIKA/MAKAMPUNI then ngenge fulani la watu wenye matarajio yao wenyewe wanaamua kujiunga na kuanzisha kikundi chao cha mpira wewe unakuja na siasa zako na kukiita Timu ya Taifa.....tuache unafiki, matokeo mazuri ni baada ya maamuzi mazuri, investment ya longtime na kuweka siasa kando.
wamejitahidi,nasikia ni kwa muda mrefu hatujawahi kuingia kwenye hayo mashindano...I mean ku qualify..
Barikiwa sana sana, tuweni wa kweliKiongozi sikujui ila kwa haya Maelezo yako tu yenye Umakini na Ukweli mtupu sihitaji Kukuchambua sana ili niweze kujua kuwa una Akili na ukweli ni kwamba upo vizuri mno Kichwani na nimevutiwa hasa na Ujengaji wako wa Hoja na mpangilio mzima wa Facts zako. Uko vizuri Kiongozi na Heko pia.
Miaka 39 mama,inshaallah tutarudi tena baada ya miaka 40wamejitahidi,nasikia ni kwa muda mrefu hatujawahi kuingia kwenye hayo mashindano...I mean ku qualify..
Miaka 39 mama,inshaallah tutarudi tena baada ya miaka 40
Kombe lenyewe baayyaaaaaaaa😏